2015 ipigie kura CCM

Kama msaada tu waliokumbwa na mafuriko ifakara na mabomu ya Gongo la Mboto na Jangwani vimemezwa na mamba wenye uchu.
 
Nitapokea rushwa toka ccm nitaichangia chadema.nitakula ccm nitalala chadema,,,2015
 
Mzito K,

Hizi picha kiboko! So much messages wrapped in them. Vp unazo nyingine?
 

Ndugu zangu, mkumbuke kuwa hata CHADEMA kitakuwa na budget ya "ulinzi na usalama". Usipofuata sheria, lazima utaadhibiwa tu. Tusijiliwaze kuwa CHADEMA itaruhusu watu wagawiane hata viwanja vya Ikulu. Tufuate sheria katika kudai haki zetu. Ukweli ubaki kuwa ni kosa kujenga katika kiwanja usichokimiliki na bila kufuata taratibu.

Kama CHADEMA kitaruhusu watu kutenda bila kufuata utawala wa sheria, basi hakifai hata kuongoza kitongoji.
 
jiji la bongo linakua kwa kasi ni miongoni ma majiji 10 yanayokua kwa kasi duniani, bongo ni ya 9,
je unashauri nini kifanyike kuepuka matatizo ya urbanization?

hii bomoa bomoa ni sehemu ya city planning,nyie tayari mnakimbilia kutafuta kura.
 
Kuliko kuipa kura yangu sisiem, ni bora kukesha kanisani! Siipigii kura ng'o! Tufiakwa!!! Najitemea mate kifuani, ni laana kuipa sisiem kura yako!
 

Kwenye red ya kwanza: Nadhani yuko sawa anatumia kitu kinaitwa kejeli, then ukisoma content unaelewa exactly alichomaanisha. na kwenye red ya pili: I think that is what CDM is doing, na si rahisi kukamilisha kazi hiyo kwa siku moja, it needs time and tolerancy.
 
Angalia mambo ya Dar na Tanzania kwa ujumla kwa kubonyeza hapa chini
jiji la dar na zanzibar
Dar es Salaam and Zanzibar | Tanzania | City Gallery - Page 50 - SkyscraperCity
utalii tanzania
Tanzania Tourism - Page 16 - SkyscraperCity
Tanzania Tourism - Page 15 - SkyscraperCity
 
hili ni jiji la dar baada bomoa bomoa,vhini ya serikali ya mkapa na baadae kikwete


 
Tusiwapeni CDM madaraka hata dakika tano . watatuzamisha ................[/QUOTE]
angalia jiji la dar linavyopendeza baada ya kubomoa bomoa nyumba za wenyeji na kujenga upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…