Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
comrades, it has been a while, greetings!.. allow me to go straight to the point, najua wakati kama huu huenda siwakati mzuri sana kupata attension ya wengi hasa kwa umuhimu wa habari kuhusu muwakilishi wa CCM na mchakato waupatikanaji wake huko Dodoma. hataivyo baada ya tadhmini ya muda sasa nimefikia mahali pakuona haja ya kusema wazi ninachokiona kwa matumaini kwamba huenda wenye dhamana ndani ya chama changu (CHADEMA) wataona ujumbe huu ama kwanamna flani utawafikia na huenda uka trigger reasons for a second thought kuhusu nani angefaa kuwakilisha chama (ama CHADEMA ama UKAWA) katika uchanguzi huu. kwakifupi ni maoni yangu kuwa inspite of ujasiri wangu juu ya uwajibikaji na uchapa kazi wa kiongozi wetu Dr. W Slaa, Upepo wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa hauashirii kuwa wakati mzuri sana kwa jina la Dr. Slaa kusimama katika nafasi hii. ni maoni yangu kuwa wakati wake sio huu. huenda umepita tayari, huenda ni wakati mwingine lakini si wakati huu. nadhani kuna haja yakutadhmini vyema hali iliyopo na muitikio wa wapiga kura kwa majina ya individuals tunaowafikiria kwa nafasi hii na wakati huu. japo wapo wachache ninao wadhania kuwa na muitikio mzuri zaidi maskioni mwa wapiga kura, sikusudii kutaja jina hapa/eo huenda nikafanya hivyo baadae. asanteni kwakunisoma. karibuni kwa maoni tofauti.