Ukiangalia trend ya kisiasa hapa nchini unapata wazo kwamba mwaka 2015 CCM inaweza kuzikwa rasmi. Premise hii naijenga kutokana na ukweli kuwa 'voting age' inayokipenda Chama Cha Mapindizi 'ina-phase out'. Hata sasa hivi age inayokipenda Chama tawala ile inayoanzia 50 years na kuendelea. Wakuu huu ni mtizamo wangu
ni kweli kabisa, hasa mivitano ya ndani itasababisha ivunjike, mgombea atakayefata sehemu kubwa ni chaguo la mafisadi..wale wasafi itabidi wachomoke tu!