Acha upuuzi wewe kwani umbeambiwa huu ni mwaka 1997 mpaka umejirudia. So huu ni mwaka 1997?
Una mapepo, mapovu ya nini kwenye jukwaa hili!
Labda wanataka habari za Zitto Kabwe...kuna watu wanaingia humu na mastress yao,mnataka usiriaz nendeni jukwaa la siasa,sio humu