2013Land Rover Discovery 4 kwa Tsh120milion tu.

hizi ndinga ni miongoni mwa zilizosimamia ukucha aisee,one day yes
 
Kwa watoto wa uswazi ukiwa na hii machine unatafutwa kurogwa tuu mbaki nazo huko huko.
 
Heri nikanunue apartment za NHC pale kinondoni. .maana gari ni liability. ...unless kama una nyumba mbili tatu. ...thank you my friend
Halafu hilo ukilinunua kunauwezekano usipate wa kumuuzia ukilichoka labda uliweke kwenye museum yako.
 
Mbavu zangu hahaha. ...umenichekesha sana. .dah. ..hiyo kali. ..Umenikumbusha kuna mtu alileta biashara ya mzigo wa mali kutoka Singapore. ..alivyo fika nao hakuna mtu aliye nunua. ..ilikuwa balaa. .tukawa tunauita mzigo wa ma.vi. ..hahaha. ..kila nikikumbuka nacheka mwenyewe walahi. .
 
Yaani bado tupo nyuma sana biashara mtandaoni... Ujue unaweza tukana mtu hivihivi maana sijui ni ujinga au ushamba... Mtu akiona bei asiyoimudu anaanza kucoment uchafu wake....hivi ukishasoma post ukaona haikuhusu si bora upite tu.. . Unaanza mara Oh bei hiyo.. mara Oh ipo juu wakati hata bei halisi ya gari hujui.. Pu***fu
Mbona mkali kaka dalali, biashara ni imani,kuwa mvumilivu,hivi utaweza kuuza nguo wewe,manake anaweza akaja mteja akajaribu nguo kibao halafu asinunue hata moja,akakuachia wewe zoezi la kuzikunja na kutundika.
 
Ouch
 
Yaani bado tupo nyuma sana biashara mtandaoni... Ujue unaweza tukana mtu hivihivi maana sijui ni ujinga au ushamba... Mtu akiona bei asiyoimudu anaanza kucoment uchafu wake....hivi ukishasoma post ukaona haikuhusu si bora upite tu.. . Unaanza mara Oh bei hiyo.. mara Oh ipo juu wakati hata bei halisi ya gari hujui.. Pu***fu
Umeonyesha gari, ficha utu wako wa ndani, hutaumia angalia mwenye mwelekeo na hitaji linalolingana na lengo lako
 
Back
Top Bottom