2013Land Rover Discovery 4 kwa Tsh120milion tu.

2013Land Rover Discovery 4 kwa Tsh120milion tu.

Conroy

Senior Member
Joined
May 23, 2014
Posts
158
Reaction score
44
Gari sawa na mpyaaa imeendeshwa na mwanamama..
received_10153733631335723.jpeg
received_10153733631330723.jpeg
received_10153735715895723.jpeg
received_10153733631340723.jpeg
received_10153735715900723.jpeg
sababu ya kuuza ni ili kununua toleo la karibuni zaidi
Land Rover Discovery 4
Year 2013
Fuel diesel
Automatic
28000km
Imelipiwa kila kitu
Utakuwa umeokoa zaidi ya 30milioni ikiwa ungeamua kuimport kutoka nje
Ipo masaki, dar es salaam
Contact :0689315582
 
Yaani bado tupo nyuma sana biashara mtandaoni... Ujue unaweza tukana mtu hivihivi maana sijui ni ujinga au ushamba... Mtu akiona bei asiyoimudu anaanza kucoment uchafu wake....hivi ukishasoma post ukaona haikuhusu si bora upite tu.. . Unaanza mara Oh bei hiyo.. mara Oh ipo juu wakati hata bei halisi ya gari hujui.. Pu***fu
 
Punguza matusi Mkuu,hii ni biashara inahitaji uvumilivu kwa wateja wako pia fahamu hata kama mtu atatoa kashfa kiasi gani kama hiyo biashara yako inauzika itauzika tuu.
 
Yaani bado tupo nyuma sana biashara mtandaoni... Ujue unaweza tukana mtu hivihivi maana sijui ni ujinga au ushamba... Mtu akiona bei asiyoimudu anaanza kucoment uchafu wake....hivi ukishasoma post ukaona haikuhusu si bora upite tu.. . Unaanza mara Oh bei hiyo.. mara Oh ipo juu wakati hata bei halisi ya gari hujui.. Pu***fu
Povu la nini? Geez! Binadamu tuko tofauti na yes lazima watu watasema. Calm down!

Umenikumbusha dalali mmoja wa magari hapa JF akiitwa Munawar alikuwa na matusi balaa.
1474133024814.jpg
 
Hilo ndo gari sasa...mkuu kweny tangazo uwe unasema kama yakwako haina udalali au vp...mana kuuziwa pogba si mchezo (just a joke)...najua utapata wateja usiwaze..hao waliopost utumbo apo juu hawana hela...level zao spacio, vitz..bajaj..carry nk
 
Heri nikanunue apartment za NHC pale kinondoni. .maana gari ni liability. ...unless kama una nyumba mbili tatu. ...thank you my friend
Dada ISIS. Hizo apartment za NHC zinauzwa bei gani? Ni mpya?
 
Ha ha ha ha tuko wa aina tofaut humu ndan so mkuu mwenye mada chukulia kawaida tu na ustoe povu sanaaa
 
Back
Top Bottom