Eng mwang'oko
Member
- Apr 14, 2013
- 40
- 8
Hawa ndio kama kweli Game 7 kama Miami watakuja na Big 3 au Lebron na Miller na Allen wanashinda na Spurs kama Watakuja na Duncan na Parker na Manu ongeza Green wanashinda au Spurs Bench lije na zile 3 watashinda. NBA sekunde 6 mtu anashinda wakati mpira wa miguu ndio muda wakugaragara kwenye majani au kukimbilia kibendera.
Ukweli Lebron ndio anawabeba Miami,pamoja na shutuma zote anazopewa .Hao kina Wade na BOsh hakuna kitu wamebaki majina tu
Mazee acha masikhara..Green kafanyiwa faulo gani wakati buzzer ilishalia? Manu alitembea hatua 5 bila kudribble hata angekua tackled to the ground it aint no f* faul. Na ile Bosh alivokua pinned and wrested down to the ground na Tim ili Manu/ Parker ili afunge kirahisi mbona huisemi? Vp ile ya Le Bron alivobaki 1-o-1 na Green, unaeza kutukumbusha uamuzi ulikuaje?Manu kafanyiwa faulo, green kafanyiwa faulo na refa kapeta, ama kweli 'amlipaye mpiga zumari ndio huchagua wimbo'
Timu imecheza vibaya, karibu kila mtu. Nashangaa Spurs wameshindwaje! pengine star wa G6 kwa upande wangu ni Chalmers ambaye nae alipoteapotea through the game lakini ali-combin well na kuchoma 3 kwenye critical moments of the game.leo kusema ukweli Chris na the Great Allen ndio walikuwa kwenye critical path ya ushindi wa Heat.........
Ukweli Lebron ndio anawabeba Miami,pamoja na shutuma zote anazopewa .Hao kina Wade na BOsh hakuna kitu wamebaki majina tu
wade yuko vizuri leo....