Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,344
- 1,771
Happy New year wadau wote wa jf.
Imezoeleka Duniani kote ifikapo siku ya mkesha wa mwaka mpya watu hujiandaa kwa shangwe mbalimbali na mahoteli makubwa hulipua Fataki na kuifanya Anga ionekane inangara na kutoa kishindo kikubwa ili alielala aamke na kujua mwaka umeisha na sasa tupo mwaka mwingine.
Ila hili japo ni tendo moja tuu kwa mwaka mzima kwa hapa Dar es Salamu kamanda Kova alipiga marufuku ulipuaji wa Fataki kwa kutoa sababu zile zile tulizozizoeya.
Je! ni haki kwa kova kutunyima uondo wa kuwasha fataki mwisho wa mwaka wakati duniani kote ndivyo wanavyofanya? PILI KAMA NI SABABU ZA KIUSALAMA INAMAANA POLISI ILIKUWA AIJUI KUWA MWAKA WA 2013 HAUTAISHA HIVYO 2014 ILIKUJA GHAFLA?