2013 kuingia 2014 Kamanda Kova ametuboa sana

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
1,815
0
Happy New year wadau wote wa jf.
Imezoeleka Duniani kote ifikapo siku ya mkesha wa mwaka mpya watu hujiandaa kwa shangwe mbalimbali na mahoteli makubwa hulipua Fataki na kuifanya Anga ionekane inangara na kutoa kishindo kikubwa ili alielala aamke na kujua mwaka umeisha na sasa tupo mwaka mwingine.

Ila hili japo ni tendo moja tuu kwa mwaka mzima kwa hapa Dar es Salamu kamanda Kova alipiga marufuku ulipuaji wa Fataki kwa kutoa sababu zile zile tulizozizoeya.

Je! ni haki kwa kova kutunyima uondo wa kuwasha fataki mwisho wa mwaka wakati duniani kote ndivyo wanavyofanya? PILI KAMA NI SABABU ZA KIUSALAMA INAMAANA POLISI ILIKUWA AIJUI KUWA MWAKA WA 2013 HAUTAISHA HIVYO 2014 ILIKUJA GHAFLA?
 
leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,230
2,000
Wengine duniani hufanya hivyo, ILA SIE WABONGO USTAARABU SIFURI.
 
Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,873
1,500
Watu wengine bwana! Huwa mnajipa matumaini yasiyokuwepo. Kweli mtu makini na akili zako ulitegemea nini cha zaidi kutoka kwa ASP Kova?!.

Wewe ndiyo utakuwa na matatizo.
 
Mundu

JF-Expert Member
Sep 26, 2008
2,708
2,000
Kama polisi wanaona ni hatari watu wa kawaida kulipua mafataki...basi na wayalipue wao...
 
mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
3,827
2,000
Happy New year wadau wote wa jf.
Imezoeleka Duniani kote ifikapo siku ya mkesha wa mwaka mpya watu hujiandaa kwa shangwe mbalimbali na mahoteli makubwa hulipua Fataki na kuifanya Anga ionekane inangara na kutoa kishindo kikubwa ili alielala aamke na kujua mwaka umeisha na sasa tupo mwaka mwingine.

Ila hili japo ni tendo moja tuu kwa mwaka mzima kwa hapa Dar es Salamu kamanda Kova alipiga marufuku ulipuaji wa Fataki kwa kutoa sababu zile zile tulizozizoeya.

Je! ni haki kwa kova kutunyima uondo wa kuwasha fataki mwisho wa mwaka wakati duniani kote ndivyo wanavyofanya? PILI KAMA NI SABABU ZA KIUSALAMA INAMAANA POLISI ILIKUWA AIJUI KUWA MWAKA WA 2013 HAUTAISHA HIVYO 2014 ILIKUJA GHAFLA?

mtu mzima unalilia mafataki, eti umeboreka! Huna ya maana ya kufikiria mpaka ukaanzisha na thread kabisa! Dah!
 
kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,785
2,000
Alishawahi kusema atakamata watu humu humu JF. Jamani JK mrudishe Tibaigana awe mfano kwa Kova
 
Eddo Sambai

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
1,815
0
Mkuu Eddo, huko Dar mnamremba sana huyo Kova, ingekuwa ni huku A-Town tungeshamnyonya hayo macho siku mingi. Huku tupo huru bwana kupokea mwaka na kupiga fataki ni kitu ya kawaida chaliangu, embu waulize mabilione wa mererani kaba Papa King kitu aliofanya pale triple A hiyi siku ya mkesha ilikuwa ni fataki .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom