Wajukuu na wapendwa wangu,
Napenda kuwafahamisheni rasmi kuwa mie babu yenu ODM nimeamua kubadilika
mwaka ujao (Umri ushaenda huu mambo ya ujana niwaachie vijana.)
Hivyo basi ile biashara ya kuwakagua wajukuu ntaipunguza saaaaana.
(kuiacha itakuwa dhambi). Kuanzia mwakani, yaani kesho, inshallah Mungu
akijalia uhai, ntakagua mabinti wachache sana wale wenye viwango
vilivyothibitishwa na TBS ya mbinguni.
Tena
nikizingatia itifaki na vigezo na masharti
Ukaguzi
wa ndugu zake
Madame B,
snowhite na
Blaki
Womani ntawaachia kina
watu8,
Erickb52 na
Ruttashobolwa
Babu
yenu mie ntajikita kwenye udumishaji wa mila zaidi
Na
kwakuwa mnajua babu yenu mie ni babu wa mjini, nitamsaidia bibi yenu
kwenye shughuli zake za kila siku...(kisasa zaidi)
Na
utekelezaji wa majukumu yangu ntaufanya kisasa zaidi.
Kwa
mantiki hiyo basi, ule ujeuri nliokuwa nao tangu utotoni ntauacha
rasmi.....
Nawasihini
vijana wangu mjiunge nami kubadilika ili tuijenge dunia yenye amani,
furaha na upendo.... Iepukeni zinaa na visababishi vya zinaa...
...
Heh!
Hivi leo jumangapi?
Nlikuwa nawatakieni heri ya mwaka
mpya jamani.
Karibuni Fyatanga wooote kwa mpigo!!