2013 Acha Ushamba Ushamba Wako!!!!! Take Control !!!!!!!!!!!!

Bonge la insipirational message in an artistic way of presenting!

Hiyo ya society umemaliza, mimi maamuzi yangu makubwa yote huwa nayafanya mwenyewe na ndio maana sinaga wa kumlaumu. Kuna watu hawaendi msalani mpaka washauriwe.

Happy new year!
my love for u will never die!
 

Waw...thatz my lady!
 
huwa sichangii nasoma na kupita tu, but leo umenifurahisha lara 1
happy new year, hakika furaha yako unayo mwenyewe
 
Waoh!
That is the sweetest thing l have heard this year. Me to honey; l will pray for ur happiness everyday.

Tons of Love!
Ur big Sis.
Happy 2013 my dear sis. May your heart desires be guided by Godly wisdom and be attained in Jesus might name
 
Umenipa ujasiri Lara, ngoja nikafunguke kwa mrembo mtaa wa pili hapa uswahilini. Ntakuja na feed back

Nakufatilia kwa ukaribu! Lazima umake the impossibla zi happen!!!!!!!!!!! You better not chickenout on me!
 

Na jamii yenyewe ya bongo hii hairidhikagi kamwee! Hawakosi kasoro kwenye kila jema!
 
Na jamii yenyewe ya bongo hii hairidhikagi kamwee! Hawakosi kasoro kwenye kila jema!

Ukiniletea issue yako lazima niitafutie makosa; na siku zote ukitafuta makosa unayapata coz unakuwa umevaa magnifying lens. Na mbaya zaidi sikupi alternative, why? Coz siijui!

Ila sometimes pondering things by yourself inacost; shida ni nani utakayempata atakaye kuincourage kuachieve the 'not so possible' things.
 
happy new year.ujumbe mzuri.mwaka huu kisukari atamtokea mtu,kama kutongoza nitaanza mwenyewe
 
"M-Pesa imewashinda hata like tu!" LOL! Hii ni kubwa kuliko, nimeipenda kwa kweli.
 
Nipeipenda hii lara 1
Hasa hasa para ya mwisho..
Its time to keep from negativity..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…