Huwa nafurahi sana kwenye sebene binti huwa ni balaaMkuu hebu tuwahamasishe na sisi kupenda haya mambo yetu ya wakongolese
Nianze na hizi
1. Aspirine..cindy le Coeur
2.Elixir-Cindy le Coeur
3.BB Gout-Koffi ft Cindy
Hizi ni Chache tu................Upate ile show ya huyu binti Cindy akiwa na Koffi iliyofanyika ZENITH DE PARIS ndo utafurahi zaid na ndo utajua ladha ya muziki wa Koffi na wakongo kwa ujumla...........TOLEKA INKOKAZ Baonyeshe batoto ba bongo mambo ya kwetu
Mkuu nafurah kusikia na wewe unazimikia mambo hayaHuwa nafurahi sana kwenye sebene binti huwa ni balaa
FERRE GOLA EN ACTION AU ZENITH DE PARIS 3 / MEGADANCESONO - YouTubeMkuu nafurah kusikia na wewe unazimikia mambo haya