Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nimependa list yako .. Nzuri sana asante..
Huo wimbo wa Super Base Nick Minaj ulinivutia
zaidi pale wale watoto wawili walipoimba kwenye show ya
Ellen ...
Sophia Grace On Ellen Show (Full Version) - YouTube ...
Adelle na ye amevuma sana mwaka huu..
Hopeful matatizo yake ya koo yataisha mwakani..
Ohoo!! Yes huu wimbo mzuri sana banaa.Mimi penda orodha yako.
huo wimbo wa Rihanna we found love...
aliimba LIVE kwenye X-Factor America kama wiki
mbili zilizopita.. Kwa kweli nimeupenda sana. ..
Thanx 🙂
Hahaha! Huu wako mkali kuliko zote..."maisha magumu dodoma posho zipande" - annah makinda ft david kashilila....!!!
Na Luhanjo ft Jairo-Takrima."maisha magumu dodoma posho zipande" - annah makinda ft david kashilila....!!!
Kiatu Kivue - xyz & Rose Mhando
Kwetu Pazuri - Christ Ambassadors