Lokua Kanza, Nkolo Akosunga
Beyoncé, who run the world
Stella Mwangi, Lookie Lookie
Alexandra Stan, saxobeat...
Ni wa Congo Kinshasa ila kaendelea France na Bresil... Ana nyimbo nyingi sana... jaribu kuzipitia pitia utazipenda, najua. Zamani alikua anaimba kwa kiswahili ila siku hizi anaimba zaidi kwa kifaransa, Lingala na Portuguese...Toka nilipo mgundua katika albam yake ya kwanza mwaka 95, kila mwaka uliofata yuko katika kumi bora zangu.
In fact sio "Nkolo akosunga (2002)", nilimaanisha "Nkolo (2011)"
Set fire to the Rain - Adele
Rolling in Deep - Adele
How to Love - Lil wyne
Mr Know it all - Kelly Clarkson
Nwar baby - Mr Flavour
Nimechokwa - Belle 9 & sheta
Impossible -
Man Down - Rihanna
5'Oclock in the Morning - T-pain
Moves Like Jagger - Maroon 5
Tonight is gonna be a good night - Black Eyed Peas
Right thru me - Nicki Minaj
Super Base - Nicki Minaj
Don't let me Fall - B.O.B
Bad Romance - Gaga
****'en Perfect - Pink
And more.... It was a Great year for music
hahahahah lol
We umesikia na unajua zipi?
ki ukweli siwezi kujizuia hisia zangu kwa baadhi ya hits za kikongolese hasa za wqkongwe akin abozi,koffi,tabu,ferrre.werrason,nyboma,peppe,mbilia and Pappa Wemba,back home ni nyimbo za msimu ukiacha bendi kama FM,msondo,sikinde na twanga nawafeel
Chris Martin - Paper Loving
Big Sean Ft Nicki Minaj - Dance
David Guetta Ft Usher - Without You
Ace Hood Ft Chris Brown - Body To Body
Rihanna Ft Calvin Harris - We Found Love
Wiz Khalifa Ft Chevy - Taylor Gang
Drake - Headlines
Naeto C - Ten Over Ten
Keri Hilson Ft Nelly - Lose Control
I'll be back with another list