2011 Porsche Panamera 4

shauri yako kupapasa papasa utashangaa mkono umedumbukia kusiko, preta mwambie huyu

Nasubiri jibu kutoka kwa preta! huko kusiko ni wapi, nakunakoni wapi?
 
Zilitoka mwaka jana mkuu, mkono wa pili sijajua bei ila bei ya mpya ni kati ya $89300 hadi $92800 ndo bei mkuu. Jikunje uweke kitu barabarani!
 


kitu mashine mnato....nini porsche bana........


basi inaelekea kwa mchecheto wangu na kuizimikia porsche panamera 4 ! nikaichanganya na Aston Martin si unajuwa ngoma sikuwahi kutia machoni bab! anyways shukran
 
baada ya kuiona kwenye matangazo muda mrefu hatimaye katika pitapita zangu leo nikakutana ni hii kitu Porsche Panamera 4 ... hivi mkono wa pili 2nd hand zinapatikani kwa kiasi gani..?



View attachment 27689

Kweli kwenye hii dunia kuna watu wanaishi,wengine TUNAISHIWA.
 
preta hii kitu bei gani mkono wa pili

hii haina mkono wa pili....kitu ni mang'anyu toka faktori mkuu.....press order kwangu kitu kinakulilia ndani ya mwezi
 
hii haina mkono wa pili....kitu ni mang'anyu toka faktori mkuu.....press order kwangu kitu kinakulilia ndani ya mwezi

Ahh sawa bana , poa acha nianze mchakato... kama vipi mwisho mwezi basi tutataftana..
 
2011 Edo Competition Panamera Turbo Moby Dick - Front And Side - 1280x960 - Wallpaper
2011 Edo Competition Panamera Turbo Moby Dick - Rear Angle 2 - 1280x960 - Wallpaper

<noscript>
</noscript>
2011 Edo Competition Panamera Turbo Moby Dick - Rear Console - 1280x960 - Wallpaper
2011 Edo Competition Panamera Turbo Moby Dick - Side - 1920x1440 - Wallpaper
2011 Porsche Panamera Individualization Programme - Front Angle - 1280x960 - Wallpaper
Image Credits - Porsche
2011 Porsche Panamera Individualization Programme - Rear And Side - 1280x960 - Wallpaper
 
Jamani mie naomba mnijuze kama kuna mtu anahafamu wapi naweza kupata starlet mkono wa tatu (third hand) yaani namaanisha kumpata mtu anayeuza ya kwake (assumption ni kwamba ilinunuliwa second hand).........ninahitaji sana jamani na mie nijikwamue na usafiri wa daladala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…