2010 hatudanganyiki

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,671
Reaction score
37,838
Pengine wewe ni mwenzangu ktkt waajiriwa
ni vyema kama muajiri ujue haki a ko ya msingi\
usikubali muajiri akunyanyase ama kukuchezea kama mpira wa kona
hali ukijua haki zako za msingi ambazo wengi wanashindwa kuzijua
ukiwa umeajiriwa chukua muda kusoma na kuperuz hizi sheria zitakusaidia
na wakati mwingine mwajiri anaongeza heshima zaidi akijua unajua nini unachofanya
 
Thank you very much mkuu nimeidownload naamini itanisaidia sana ntaisoma wakati nimerest.naomba kama unaweza kutuwekea na katiba tuipitie pia itakuwa poa zaidi.
 
thank you very much mkuu nimeidownload naamini itanisaidia sana ntaisoma wakati nimerest.naomba kama unaweza kutuwekea na katiba tuipitie pia itakuwa poa zaidi.

ntakutumia mkuu sijaja na flash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…