2009 World Quality of Life index

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
5,566
Likes
28
Points
135

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
5,566 28 135
Pia inabidi tuangalia hiyo "quality of life" ni kwa mtazamo wa nani? Nadhani nchi zote kwenye hiyo index ipo subjected to Western standards. Tatizo ni kwamba West vitu wanavyo ona vina constitute quality of life vina weza visiwe vitu hivyo hivyo ambavyo wengine wanaona.
 

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
132
Points
160

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 132 160
I don't think this index of quality of life is credible.

I have been in the Caribbeans, Trinidad and Tobago, Grenada, Antigwa, hakuna kitu kule. Watu wanaishi kwenye nyumba za Mabox na mbao, takataka kila sehemu kuliko Kariakoo, ujambazi kwa taarifa yako ni mkali kuliko wa Bongo. Ukishuka tu Airport, watu wanataka kujuwa unatoka wapi, usithubutu kusema unatoka USA, watakuteka, watachukua kila kitu, na kukutoa roho.

I mean, these people when they come with these bogus statistics, wao wanacho juwa ni nothing kuhusu Africa zaidi ya kufikiria kuwa eti Africa ni jehanamu ndogo. lol.
 

Forum statistics

Threads 1,190,580
Members 451,229
Posts 27,675,890