2002- - - 2013 oooooooh ndoa yangu

Mzee usiogope ni tatizo dogo. Naomba ufanye yafuatayo!
  1. Kama una gari, pumzika kuendesha maana kichwa chako hakiko sawa
  2. Mtafute rafiki yako wa karibu ila msiri, wa kupiga naye story, akupunguzie mawazo, hapa simaanisho demu.
  3. Kama una vipesa kidogo, ondoka hapo nyumbani wala usiage, kakae japo hata guest unayoweza kumudu, kama hotelini huwezi.
  4. Hata ukiweza kukaa mwezi mmoja si mbaya. Katika muda huo usitafute demu
  5. Hii itakupa muda wa kutafakari kama uendelee naye ama umwache.
  6. Kama unaendelea naye, uwe tayari kusamehe toka moyoni na usiyakumbuke tena
  7. Kama unampiga chini, UWE UNAMAANISHA, usianze kulia lia tena kwamba unamtaka.
 
...Huwezi kuoa SHETANI....ukataka awe MALAIKA....

huyo ni kucheche.... ulikosea kumwoa....una watoto tayari....FUKUZA FUSKA HUYOO.....ukishindwa hili UTAKUFA MWENYEWE.....

mwanaume maamuzi....
 
Ungemshauri aondoke kwanza aende kusalimu mahali arudi baada ya siku mbili tatu ndio mjadili. Otherwise utaua.
 

Yaani mtu una watoto 2 na mume, badala ya kulea watoto na kuheshm ndoa, unaendelea na ujinga, kweli huyo hazimo.
Nakupa pole, ila ndio binadam wengine walivo
 
wanaume hatunaga msamaha wa kweli hicho ki2 kitaendelea kukutesa 4 the rest of ur lyf,piga chini
 
Ikifikia mkeo anapewa shukurani for a job well done, unataka nini tena, au umfumanie? Tupia kwenye dustbin, kuhusu watoto kwani wewe ndio uliingia labour? Utatafuta namna nzuri ya kuwatunza lakini usiruhusu mke azini nje halafu uogope kumpa talaka sababu ya watoto. Kesho atamleta kwenye kitanda chako.
 



kutupia kwny recycle bin pekee yake haitoshi, mwambie akishatupia ana-empty recycle kabisa
 
Pole sn kaka,take heart japo inauma sn I knw,ila ww ni mwanaume,usimfukuze ila kama unauwezo kaa kimya kwa siku km3 bila mazungumzo yoyote nae copy msg km ushahidi wako mpe simu yake wala usifute txt hakika kama amefanya haipiti wiki anaondoka mwenyewe .

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
wanaume hatunaga msamaha wa kweli hicho ki2 kitaendelea kukutesa 4 the rest of ur lyf,piga chini

hapo kwa red umesema kweli tupu, especially kwa kosa la cheating!
 
Jamani njooni basi muokoe hii ndoa!!! gfsowin,FP, Kaunga, Kongosho, HorsePower, Nyumba Kubwa -sijui siku hizi yuko wapi, na wengine njooni muokoe hawa watoto jamani, watapata shida ndoa ikivunjika!!
 
Pole man.bt investigate kama ni tabia ama kapitiwa tu.thn jichunguze wap ulimes up ukampa chances izo.PM me pls
 
Piga chini yani hata hili unatafuta ushauri mbona simple ndugu unataka mpaka umkute kitandasni? Tupa kule takataka hyo swin kabisa yani mpaka mtu anashukuliwa we huna chako tena au nawe ndo wareware mabwege mme achana na hyo malaya mbwaaaaaaaaaaaaa.
 
Lol Love
Wakujenga na kubomoa n nyie kaeni mwelewane mjue tatizo lilipo
Yote ya yote Passed Like a shadow jikinge nayo nduguuu
 
Yaani mtu una watoto 2 na mume, badala ya kulea watoto na kuheshm ndoa, unaendelea na ujinga, kweli huyo hazimo.
Nakupa pole, ila ndio binadam wengine walivo
Jamani nimpe kwanza huyu bro wangu pole, pole sana kaka yangu, kiukweli mimi sijaoa na nlikua natafuta mke wa kuoa hata huku jf nlipost thread ya kumtafuta mke, kama mambo ndo haya natangaza rasmi sitaki kuoa tena na wala waliokua wananiPM wasiniPM tena sitaki sitaki nimesema jamaniiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…