Kwa ushauri wangu, usichukue maamuzi yoyote mbali na haya;
1. Piga magoti mwambie Mungu unapita wakati mgumu, lakini yeye ndiyr mwenye jibu sahihi
2. mwambie mke wako live, kuwa umepata hizo, meseji, mwambie wewe unaongea na Mungu, mwambie hivyo, mwambie lakini umeumia sana sana, mwambie hukutegemea, mwambie kuwa unajipa muda wa kujua itakuwaje
3. usimwambie mtu yeyote, maana baadae unaweza kusamehe kwa ajili ya mlee watoto, sasa utaona aibu mbele za uliowaambia
4. Kama unahela kidogo, aaga mwambie mke wako unaenda kupumzika kidogo siku mbili hoteleni, mwambie kabisa kuwa unahitaji uulivu wa akili
5. mwambie mke wako, katika yote, maisha yetu lazima yaendelee, kwamba hutamdhuru wala wewe hutajidhuru
HII ITAKUPA MUDA WA KUPIMA MAMBO KWA UNDANI, UKIAMUA LEO, MARA NYINGI JIBU HALIWEZE KUWA SAWA, KIKUBWA ANGALIA NAMNA YA WEWE KUJIPA RELIEF, IKIBIDI YEYE USIMWAMBIE, HATA USEME UMEENDA SAFARI, ILA KWELI MESEJI ZAKE FORWARD KWAKO, NA UCHUKUE NAMBA ZA WALIOTUMA
POLE SANA, MUNGU AKUSAIDIE