20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake!

20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake!

Utafiti huu unamashaka

Idadi ya wanawake nimaradufu ya wanaume

Kuoa haukutegemei sifa za ajabu....hata vijijini wanaoana..japo maisha yachini kabisa.

Na wanaoishi bila kuoa wanaume.... Wengi nikuogopa majukumu...maana ajuaye hicho kikombe kukinywa aghalabu ujiandae vinginevo nikukikwepa.

Na hapo ndipo 20% inapoingia sasa, ukweli ni kwamba Wanaume wengi wanashindwa kuoa kwa sababu hawana game na Wanawake hawamkubali Mwanaume asiye na game ndiyo maana wengi (Wanaume) huoa pale anapopata kazi ya maana vinginevyo hapati kitu labda aende kijijini kuchukuwa mdada, na hata huyo wa Kijijini pia ukiangali kwa hali ya kijijini huyu wa ktk Mjini ni 20% ya wale waishio Kijijini hivyo atakuwa amewapiga bao wale nje ya 20% Kijijini waliobakia na kuchukua mtoto, ...
 
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata.

Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
Hihihihihihihihi wanangonoka kama bata
 
Siyo kweli.

Fedha haikufanyi uwe civilized, relevant au awesome.

You can't buy these "vibes"

Code of conducts ulizojiwekea ndizo zinakufanya uwe na maisha yenye maana zaidi, kustaarabika zaidi na kufurahia maisha yako kwa ujimla.

Maswali magumu ya maisha hajajibiwi kwa majibu rahisi.

Nimeona masikini na matajiri wengi wasiyo staarabika.

Kwa maana hii kauli yako watu wenye fedha wamestaarabika si sahihi sana.

Ni ukweli nusu.
 
Siyo hivyo nafikiri labda haujailewa hiyo Kanuni, ni kwamba wewe kama Mwanaume na hauko kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka, hauwezi kupata Mwanamke wa kuoa, kwa maana Mwanamke hawezi kukukubali!
Nahisi kama wewe ndo haujamsoma Mimi naona kamaanisha yani hiyo asilimia yako 80+20=100....hiyo asilimia yako 100 ndio hiyo inayoikamilisha asilimia 99 ya kwenye 100 ambayo 1 take ndio matajiri wa fedha duniani. Ni hesabu tu imepikwa katika hesabu
 
hiyo ni theory haimanish ndo actual thing!
 
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata. Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
Africans are lazy, good at sex, theft: Trump Africans are lazy, good at sex, theft: Trump
 
Upuuzi mtupu! hakuna ukweli hapo, btw hizo statistics umezitoa wapi??
 
Mimi nlidhani kupata wife material ndio tabu....tafiti za JF
 
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata.

Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
well said

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Mimi nlidhani kupata wife material ndio tabu....tafiti za JF

Kinyume chake, ukiwa na game hakuna shida utakuwa na rundo la Wanawake wa kuchagua, ukiwa hauna sahau!
 
Nahisi kama wewe ndo haujamsoma Mimi naona kamaanisha yani hiyo asilimia yako 80+20=100....hiyo asilimia yako 100 ndio hiyo inayoikamilisha asilimia 99 ya kwenye 100 ambayo 1 take ndio matajiri wa fedha duniani. Ni hesabu tu imepikwa katika hesabu
"Vijijini ni asilimia 90 masikini starehe yao ni pohmbe na nyinyi"- R.I.P Alberm M. , sikiliza
 
Ulishawahi kujiuliza kwa nini kuna Wadada wengi sana siku hizi hawajaolewa? Siyo kwamba hawapati Wanaume au hakuna Wanaume wa kuwaoa bali ukweli ni kwamba hawapati Wanaume wanaowataka wao, kama ulikuwa haufahamu hilo basi nakuelimisha leo hii, hii inaitwa Kanuni ya 80/20, inasema kwamba 20% tu ya Wanaume ndiyo wanaowabadilisha Wanawake wote, na Wanaume waliobakia wanaondoka patupu, yaani kwa maana nyingine kama wewe ni Mwanaume na uko nje ya 20% haupati demu hata ufanyeje labda ubake ambapo utaishia Jela au ukahonge Kona Bar, lkn utalala njaa kwa kukosa hela ya kula!

Siku hizi kuna Wanaume wengi tu hawapati Wanawake wa kuoa, ingawaje wanajaribu kila wawezalo, lkn wanasahau hii Kanuni kwamba hawamo kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka kuolewa nao, hivyo utamaliza dawa zote, utazunguka kwa Wachungaji wote lkn kama haupo 20% ya Wanaume hautapata Mwanamke labda ubake!

20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake, Wanaume waliobakia hawapati Wanawake.

Ndiyo maana utasikia maneno meengi ya kashfa ktk kwa Wanaume ambao wako nje ya 20% sijui mara mtazeekea nyumbani, mara sijui muda unakwenda lkn ukweli ni kwamba siku hizi Wanawake hawakubali kuolewa na ambaye hana game, hata kama akipiga miaka 40 ni bora lkn chini hashuki, ...

Male-FemaleRatio.png
Wanao jiuza vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom