20 Percent: Kiko wapi hiki kichwa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,320
50,538
Wana bodi naomba kujuzwa mwenye taarifa za wapi alipo na kama bado anajihusisha na tasnia ya Mziki msanii huyu mwenye kipaji cha hali ya juu alitushika kwa vibao vyake kadhaa kama ya nini MALUMBANO. Mara ya mwisho kumsikia ni 2013.
 
Jamaa ni msanii mwenye kipaji sema pombe na marafiki aliokuwa anashinda nao ndio walimpoteza kwenye ramani ya bongofleva
583117766eba1fb02e1f03ff0b8c8078.jpg
 
20% anaozea jela congo, alikamatwa na bwimbi aka powder akivuka nalo boda. ...He is behind bar doing xxyrs in prison.
 
Man Water amemchukua 20% mara nyingine tena.. Tarajieni hits songs toka kwa asilimia 20.
 
Jamaa ni msanii mwenye kipaji sema pombe na marafiki aliokuwa anashinda nao ndio walimpoteza kwenye ramani ya bongofleva
583117766eba1fb02e1f03ff0b8c8078.jpg

Naona mbunge anarembua macho tu. Sijui kwenye hiyo chupa amezimulia viroba!
 
Aache usela wa kijinga afanye mziki, na uhakika man water atamrudisha ktk gem
 
Wana bodi naomba kujuzwa mwenye taarifa za wapi alipo na kama bado anajihusisha na tasnia ya Mziki msanii huyu mwenye kipaji cha hali ya juu alitushika kwa vibao vyake kadhaa kama ya nini MALUMBANO. Mara ya mwisho kumsikia ni 2013.
Yupo jela dhamana unayo umsaidie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom