Ni dharau kabisa, haitatokea siku ukaheshimika.Kwa mtoto wa kiume, ukikaa home hutakiwi kuomba pesa kwa baba au mama, sana sana unatakiwa uchangie kidogo hapa na pale, mtoto wa kike haijalishi maana km uko home ni jukumu la baba na mama yake, ila mwanaume unatakiwa uhustle mambo ya kuombaomba kwa mama ni dharau
Utakuwa upo ulaya eeh! fasjet mimi mtu wa Tabora baba yangu anaishi Mtwara twaijulia wapi yakhe.
Mimi hadi kesho sijahama nyumbani japo nipo kwangu. Wazazi ndiyo washauri wa kwanza kisha wengine wanafuata.
Kuna uzi una picha zako za tako lako mambo yote wazi.si hauni tag kwenye umbea
nyooooKuna uzi una picha zako za tako lako mambo yote wazi.
Watoto wa dar wamekuweza.
Nikutag?
Nyonyo?nyoooo
20-28 years
wengi kipindi hiki wanakua wamemaliza chuo,
wana Freedom kubwa,
hivyo kutaka kuexperiment vitu vingi kutokana na hiyo new freedom....
Mfano Sex,Pombe etc
Wazazi wanadhani kijana akifikisha huu umri basi yuko tayari kuishi mwenyewe…
labda tumelelewa hivyo,
lakini ukweli ni kwamba vijana wa huu umri{personally I think} wanahitaji bado kuwa coached....
they are too vulnerable ,the world is harsh,one mistake one goal!.....one sex HIV hiyoo...
Mzazi endelea kumlea mwanao katika umri huu….kwa mfano ukimtembelea mnunulie box la condoms..LOL...atajiongeza kuwa unamtaka a play safe.....
Mwisho,embu fungukeni...jinsi ulivyokuja kujitegemea,was it easy for you ama uli wish uwe na manual?🙂
Umri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!
Kwani hili kaburi alizikwa zimwi??Kwa nini mnafukua makaburi? Lol
Mwanzo ilikuwa changamoto as you know ndio unaanza maisha mapya nje ya wazazi wako yaani wewe binafsi ndio dereva wa maisha yako hivyo yakupasa kuwa makini tu na vitu vidogovido kama kuwa;
1. Kuwa mwangalifu na mienendo yako
2. Kuzoea watu wa aina tofouti tofouti katika mazingira mapya utaayo ishi
3. Ishu ya kubana matumizi (bajeti kamili hapa ni muhimu)
Kwa upande wangu sikuona changamoto sana as kufikia umri ule nilikuwa najua mema na mabaya na kama upuuzi niliufanya sana nilivyokuwa chuo so huku mtaani hata kama nakuwa na tamaa ndogondogo najua ni kwa jinsi gani na handle ili kuweka mambo sawa