Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,617
- 8,286
Kutokana na kauli ya Moja ya viongozi wa sisiemu Jana wakisherekea kuzaliwa kwa chama Chao, namnukuu "Magufuli anapendwa na wananchi wote.
Sisiemu Ina wanachama milioni sita tuu, yeye alipata kura karibia milioni Tisa. Sijui hizo milioni tatu zilitoka wapi!.......
Magufuli uwakumbuke wale vijana 46 wa mtandao kwani walikuwa hawalali. Walikesha kuhakikisha tunashinda. Wanaingia kwa zamu. Wengine wanalala mchana kisha jioni wanaingi...
Hadi tukawashinda wapinzani wetu."
Mwisho wa kunukuu. Sio neno kwa neno lakini ujumbe ndo huo.
Nawasilisha.