ABBY HAMZA
Member
- Aug 28, 2016
- 66
- 34
Ipi ni the best engine hapo?
Ina maana hakuna wataalamu wa hizi kitu humu???Ipi ni the best engine hapo?
Mkuu hapa kwa hzo injini hyo ya kwanza ina horsepower ndogo ambayo almost ni cc 999 but ina piston 4... Always nipoa for fuel efficiency na fuel economy, but hyo inayofuata ni kubwa kwa 1SZ inakwenda cc 1290 ina horsepower kubwa kidogo... Kama 70+ bt inakua na nguvu so kwa mtu mwenye mahitaji ya nguvu it can be the best option.. Na hyo 2NZ ni kwa gari ndogo ambazo nadhan za gari ndogo ambazo zina 4WD so ulaji wake wa mafuta upo juu kidogo na ina performance nzuri... Nadhan kwa toyota IST yenye 4WD ina injini hyo..Ipi ni the best engine hapo?
Target yangu ni hp kubwa sasa kuna jamaa akanambia nisijaribu kununua gari yenye injin ya 2sz hakunambia kwa nini na mimi sikumuuliza sabb
Nataka injini ya 1.3L kati ya hizo hapo sio nje ya hapoUnataka engine yenye hp kubwa.basi achana na hiso engine tukutajie engine zenye hp kubwa.jini mafuta
Naomba kufahamu hapa. AsanteUnataka engine yenye hp kubwa.basi achana na hiso engine tukutajie engine zenye hp kubwa.jini mafuta
Muulize anaijua vizuri 2sz na kanuni yake au?Target yangu ni hp kubwa sasa kuna jamaa akanambia nisijaribu kununua gari yenye injin ya 2sz hakunambia kwa nini na mimi sikumuuliza sabb