1st, First lady

kawaida watu wakioana, baada ya kuishi kwa muda wanafanana sura, fikra na tabia. Alivyokuwa Mwl. JKN ndivyo alivyokuwa Mama Maria. Vivyo hivyo kwa Vasco da Gamba!
 
kawaida watu wakioana, baada ya kuishi kwa muda wanafanana sura, fikra na tabia. Alivyokuwa Mwl. JKN ndivyo alivyokuwa Mama Maria. Vivyo hivyo kwa Vasco da Gamba!
oooooooooh kumbe inawezekana mama salma nae akawa GAMBA
 
Mama Riz1 anahudhuria kitchen part.
 
Hiyo milioni tatu yenyewe wameichakachua maana tarakimu zasoma laki tatu na....! Yaani hakuna umakini popote si mume, mke, wala mtoto
 
3,800,00 ?????MILION TATU LAKI NANE!!! huyu kasoma shule gani? au hizi za kwetu za yeboyebo ndo wanafundisha hivi, huyu si analiingizia hasara taifa eeehhh tutafika tu!
 
Usipocheka JF basi utaugua maana na huakika mbavu zitakuwa zinauma pamoja na kichwa dah!!Kwakicheko hiki chakula nilichokula mchana najua kimeenda sehemu yake sihitaji mazoezi!!JF!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…