...naweee, haya ni mazungumzo baada ya habari, hata marriage counsellors sumtimes wanakwambia 'try it'...
Mlipuko wa HIV na STD nyingine wenye macho hatuambiwi ona, na hasa nikikumbukia your thread sumtime ago na nikakwambia 1st date yaweza jiandaa na 'meno' kama hii ...yote katika kumfunza mwanaume adabu! na ukware wake!
Ahahahah Mbu, wewe na wenzako ndio wa kushikishwa adabu... nakununulia hiyo dinner, gari langu na nakupeleka kwangu... kama utadhubutu kuyarudia tena!!!😎
A gentleman never asks a lady's age!
...enhe wajuvi wa mambo ya wikiendi,
kwanza nimeambiwa marufuku kuulizia umri,
then?
....... na wanaume jamani tunaomba mjiheshimu na kulinda uanaume wenu sio kumwomba kila unayemuona.Why uroda, denda, hugs ktk first date? nina uhakika kama una nia ya dhati na ya kudumu na hicho ki date wala hautokuwa na haraka bali kuweka mipango yako ya baadae, most of date ambazo zinaishia kulana uroda, kulana denda na mengineyo yenye mlengo wa ngono at fist place huwa hazidumu, kwani baada ya muda mwanamume ukikaa, na kuanza kufikiria unajiuliza ....... hivi huyu siku ya kwanza tu kanipa, je huwa anawapa wangapi? na je anafaa kweli kuwa naye baadaye? si wengine watamfanyia hivyo hivyo? ....... na wanawake jamani tunaomba mjiheshimu na kulinda uanamke wenu sio kukubali kujiachia kwa mtu ambaye ndio kwanza unamuona.
..... haya ndio yale yale unafanya ngono na mtu hadi asubuhi hujui hata jina la babake zaidi ya jina lake mfn. PETER, au ROSE, basi.... Tukumbuke kuna ukimwi so be careful guys...
kwa kweli ni vigumu kujua how to treat this baby, lakini personality yake ndio ufunguo wa kujua vipi uanze na vipi utamaliza.
...naaaaaam QM,
sasa...katika huo mnyumbulisho wa mazungumzo ya hizo 3/4 za 1st dates utayakwepaje makombora ya hapa na pale, wengine wanahoji mfano;
"huwa unatumia condom?" au;
"ushalala na wangapi?"
kuna wale wanaume wanatongoza kama hawatongozi vile hawana haraka kwa lolote, wao kwao stori zinatosha mpaka kinaeleweka kiutu uzima, kiss tu ya shavuni inatosha kwenye 1 date.
...Ila kama utafanya mapenzi first date mpira wa kinga ni muhimu. Wanaume wanapenda kusema wamesahau kununua/kuchukua. Inafurahisha sana!
Ndio maana wengi wanaachana na ujentoman...sheria zimezidi.
Na hao walioacha ujentoman wanafanikiwa kwa sana tu...
You should just let it take its own course...usiigize.
JAMBO LA MSINGI SANAKila kitu huzaliwa,kikakua na mwisho hufa. Date huzaliwa. lakini date sio Universal. inatawaliwa na Tamaduni za watu husika. tatizo ni pale watu wa tamadni tofauti wanaponza kudate na hawazifahamu kanuni na tamaduni za mwenza.
Mfano kwa walio ughaibuni tamaduni zao kuvua chupi ni dakika za mwisho kwelikweli. mtaanza kahawa au chai, mtaenda meals and dinners, mtaingia kwenye denda na baadaye ndiyo uone chandani. na katika hatua hizo at any time mambo yaweza kuishia hapo na hakuna noma. Ukizidi sana fuatafuata police wako mlangoni sexual harrassment.
Lakini kwa dada zangu zangu wa kiafrika aaa ile kukonyeza tu mtu kalowa tayari. ukimwambia mtu sasa tukutane wapi na wakati gani binti mwenyewe anasuggest pick me twende kwako maana kwetu wazazi wakali kama nini!! hasemi open spaces.public aaa. mzee akishatinga ndani kazu kwako na atakuona mshamba kweli ukimwacha aende mkavu!!
unless date kwa lengo la kutafuta mke hapo be carefu. Vilevile shule nayo in matter. kama binti kenda darasa hana pupa unless an mshawasha mwenyewe.
Wenzetu wazungu siku akitaka makamalee anakuambia kabisa na anakuja amejiandaa na vizibio hakuna talalila hapo ni ngoma juu kwa juu!! Lakini wenzangu na mimi unaomba makamalee anasema mbona mapema huku amalegea na kuanza kusarua!! very tricky. ILA ALWAYS TUMIA DOUBLE VIZIBIO UKIMWIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1