Aha kumbe
Kumbe ilikuwa hivi
Kumbe ilikuwa hivi
Kumbe ilikuwa hivi
Ibrah, kwanza niseme umefanya vema kuleta hili hapa.Shy, mbona hujibu? Wewe ndiye uliyesababisha Washikaji wetu wadakwe na Polisi? Are you the one?
Ibrah, kwanza niseme umefanya vema kuleta hili hapa.
Ni mwaka umepita, na nadhani muda si mrefu (kwa taarifa nilizo nazo) kutatokea kama kilichotokea mwaka jana... Am well informed over that.
Ni vigumu kueleza kwa sasa mpaka muone, ila kipo kinakuja.
Kama si watatu basi wanne, nao wanaonewa tu. Si wao, ni watanzania. Nadhani kama kamatakamata hii ingefanywa kwa watanzania walau asilimia 50 hivi ambao wanakuwa na mawazo tofauti na wanavyotaka wenye nchi.
Haijalishi kuwa mtanzania anakupigia kura ukiwa CCM ama CHADEMA au TLP, lakini hamwezi kufanana mitizamo, ni vema tukubali challenges, ni vyema tujifunze kutokana na yanayojiri (endapo hakuna matusi ya wazi na udhalilishaji usiokubalika mbele ya jamii).
Mimi nipo, naangalia tu...
Kuhusu stats za JF; nilifikiria kufanya hivyo Januari mwaka huu nikasita... Ndio mwezi ambao JF ilipata hits kuliko kipindi chote... 18mil hits (January Only).
Nawashukuru watanzania kwa ushirikiano wenu, na namna mnavyoshirikishana mambo kadha wa kadha kwa kupitia JF. JF itasimama imara pamoja na yote yanayoikabili kwani ndiyo Jamii yetu!
Invisible (Real One)
Ah, wewe waninyamazishe kwani nimeongea? Labda wawanyamazishe watanzania (nyote mnaoitembelea JF kwa kuwa mmeongea).Wakifanikiwa kukunyamazisha wewe wataibuka wengine mamia ambao watafanya yaleyale waisyoyataka.
Ah, wewe waninyamazishe kwani nimeongea? Labda wawanyamazishe watanzania (nyote mnaoitembelea JF kwa kuwa mmeongea).