Kama unaprogram hiyo ni pm nikupe lecture ya hiyo kitu 1c 8.1 au 8.2.Program hizo huwa zinauzwaNaomba msaada kwa mtu anae jua program ya account inaitwa 1c, au wapi naweza kupata training inatumika sana na watu wa urusi. Natanguliza shukrani zangu za pekee kwa atakaye nisaidia.