Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,099 Reaction score 38,714 Aug 9, 2018 #1 1988 ni mwaka nilio zaliwa 🙂🙂 na hii ni post yangu ya 1988 hapa JAMII FORUM 🙂🙂 hongera kwangu🙂🙂🙂
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,795 Reaction score 48,057 Aug 9, 2018 #2 Aisee
Designated JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 426 Reaction score 1,090 Aug 9, 2018 #3 Aaargh, Una miaka mingapi wewe? Kumbe umeweka mwaka wa kuzaliwa, basi nshajua mkuu.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,281 Aug 9, 2018 #4 Sawa mkuu [emoji1][emoji1] happy birthday kwako
Laiguanan Senior Member Joined Jul 31, 2018 Posts 115 Reaction score 184 Aug 9, 2018 #5 Designated said: Aaargh, Una miaka mingapi wewe? Kumbe umeweka mwaka wa kuzaliwa, basi nshajua mkuu. Click to expand... na hataki ku comment tena mwaka wake wa kuzaliwa utaharibika.
Designated said: Aaargh, Una miaka mingapi wewe? Kumbe umeweka mwaka wa kuzaliwa, basi nshajua mkuu. Click to expand... na hataki ku comment tena mwaka wake wa kuzaliwa utaharibika.
Chinsali JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 1,013 Reaction score 1,593 Aug 9, 2018 #6 Pesa hatuna ila ungekuwa karibu tungekumwagia maji happy birthday to you.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,833 Reaction score 55,637 Aug 9, 2018 #7 Ulipanga iwe hivi
Itovanilo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 2,311 Reaction score 5,158 Aug 9, 2018 #8 Karibu nyumbani