1986 up to 2015

1986 up to 2015

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,223
Reaction score
16,900
Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti:

Miaka ya:
1986-1990. Ukimtongoza binti, alikuwa akijibu
"Nimekubali ila usimwambie mtu.

Miaka ya:
1991-1995. Walikuwa wakijibu
"Nimekubali lakini namwogopa Baba na Mama watajua.

Miaka ya:
1996-2000. Walikuwa wakijibu
"Nimekubali:

Miaka ya:
2001-2005. Walikua wakijibu
"Nimekubali ila tutumie Condom.

Miaka ya:
2006-2010.Walikua wakijibu
"Pesa yako 2, maneno sitaki!

Balaa liko hapa!

Mwaka:
2011-2015. Wanajibu
"Nimekubali lakini haupo peke yako!"

Je, Kipi kipindi kizuri kati ya hivi?
 
umesahau nimekubali ila naona aibu :cool2: :cool2:!
 
hii ya 2011-2015
anaongeza kuwa ni ruksa kushikana lakini si kushikiana simu
 
Kipindi kizur ni kile ambacho kondomu zilikuwa hazitumiki!
 
​bora hiyo ya mwisho, ili hata siku ukimkuta nae usidondoke kwa presha
 
Aiseee, hiyo ya 2010-2015 naiunga mkono kabisa. Yaani siku hizi ukitokea demu na akakubali, atakwambia ila ninae mpenzi.
 
mmh tens kwakuongezea apo kwa waleo utackia acha longo we sema unashingi ngap.
 
tena kwakuongezea waleo ukmtongoza utackia achalongolongo we xema unashingi ngap..
 
he he he kuna kanesi nilikatongoza kakaniuliza upo tayari muwe wawili?nikasepa fasta.. Kwa kweli maisha yanabadilika
 
he he he kuna kanesi nilikatongoza kakaniuliza upo tayari muwe wawili?nikasepa fasta.. Kwa kweli maisha yanabadilika

ungemkubalia tu......afu ungempindua yule wa mwanzo.....
 
sina hakika kama 2011-2015 kuna kutongoza, ni kushika mkono tu na kwenda kudinya.
 
Back
Top Bottom