1980's Vradimir Putin katika nchi za kifrica

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
663
1,047
1477025331843.jpg
 
Hapo ndio yupi? Hizi issue ni za kimkakati, nimepoteza picha ya Brigedia Hashim Mbita akiwa Angola, pia kuna picha za maGeneral wetu wakiwa Uganda wanafanya mambo
 
Mbona hata wewe hii picha ungeweza kuiweka hapa, ungegoogle na kutuwekea hapa.

Angeweka na maelezo yaliyojitosheleza ambayo ndio yangekuwa yanazungumzia historia ya hiyo picha ndio ungesema hayo uliyoyasema.

Sijui umetumia kigezo gani?
kwenye google una search neno gani?

maana ukiandika putin in africa tayari unajua hiyo taarifa

mkuu acha wivu wa kijinga
 
Kwa nini sio Tanzania?, inaweza kuwa Nachingwea kaka kwenye kambi ya Frelimo, hiyo miti ya Nyuma ni Miembe au Mikorosho?
Tanzania wamepita wengi, na by that time Putin alikuwa sio Maarufu
Hakuna historia ya Putin kuja TZ kipindi cha harakati zile..
 
Putin ni dictator halisi muuaji na mkandamizaji wapinzani
Expansionist by kwa kuvamia ardhi ya nchi nyingine Crimea (Ukraine) na kuikalia kimabavu
 
Wa
Hakuna historia ya Putin kuja TZ kipindi cha harakati zile..
Watu maarufu wengi walipita Tanzania sema walijulikana kwa umaarufu wao, na kuna wengine mpaka leo watu hawajuhi kuwa walishawahi kufika bongo, ni kweli haijawahi tangazwa ujio wa Putin kwa hapa Tanzania so hatuna uhakika kama ilikuwa TZ, lakIni kwa muonekano wa Samora nahisi na makamanda kadhaa wa Tanzania wapo hapo hiyo picha inaweza kuwa Bongo
 
Back
Top Bottom