17 the November 2016,High court of Tanzania at Arusha. Godblesss Lema's battle against darkness

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Wakili Msomi Peter Kibatala
17th November 2016, High Court of Tanzania at Arusha. Godbless Lema's battle against darkness.

Dear LORD; I have the irreversible courage that U bestowed upon me when i was born.
For Tommorrow; Grant me wisdom, grant me insight, grant me vision, grant me laws; grant me a million, a billion laws, a Trillion laws. Grant Tanzania Godbless Jonathan Lema. Grant us freedom.
For yours is the Kingdom, The Power and the GLORY FOREVER AND EVER AMEN!!

Screenshot_2016-11-16-21-36-27.png
 
Hii kesi ni muhimu sana.. Yapo maamuzi ya mahakama kipindi cha nyuma yanayoumiza mamia ya watanzania. Kila la kheri katika hii , Mahakama zetu hii ni nafasi yenu ya kurekebisha makosa [HASHTAG]#Justice4Lema[/HASHTAG].
 
Watu kama wakina Martin Luther Jr walikuwa wanatetewa kwa kuota ndoto positive za kusaidia watu wanaonyanyaswa na wanyonge. Huyu wa kwetu anatetewa kwa kuota ndoto uchwara.
Bora angetetewa kwa kosa la kuota arusha imekuwa kama new York
Tulia simiyu huko!..
 
Kama uchwara wasiwangeipuuza tu.
 
Back
Top Bottom