17 richest in Tanzania

tuletee hiyo ya ukweli mkuu, tunahitaji sana kujua hili eneo pia.
Maana wengine wanaongoza kwenye utajiri wakiwa wafanyabiashara lakini kwenye ulipaji wa kodi wanazidiwa kampuni ambazo zipo nje ya '100 bora'


Si ya kweli,mbona mzee wangu Cheyo hayupo kwenye list yko?
 
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu


wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe



huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya
Jamani hii list sisi inatusaidia nini humu ndani
 
Vigezo pls!
Maana usije ukawa kama matangazo ya kampuni za simu Vigezo na masharti yamezingatiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom