Wabunge wa ccm laana za watumishi wa uma ziwe juu yenu.
Pole madam! Kati ya vitu ambavyo kamwe tusisahau ni hiki kimoja wapo!Hao wabunge wanaotuwakilisha huko bungeni wana roho mbaya sanaaa
Bora Watumishi wote wajiandikishe kujitoa ktk hivyo vyama lkn kwa wabongo washazoea uonevu kila kitu sawa tu hadi siku waambiwa wapeleke wake zao bodi na watatii.Vyama vya wafanyakazi kila mwezi vinatukata alaf maslah ya watumishi hayafanyiwi kazi kah, wapo kimya tu km hawaoni
"LHRC tunajiandaa kuandaa kesi kupinga malipo ya bodi ya mikopo ya 15% kwa waliopata elimu ya juu tutakuwa na kikao na mawakili jumanne next week saa 10 ofisi za LHRC karibuni mawakili pia mje kwa wingi."Mtaani huku ni soo watu 15% Ndo habar ya mjini, lakini me nilitaka kidogo wanasheria mtusaidie inakuwaje Mimi km mteja nimesaini mkatakaba wa kulipa mkopo kwa 8% zen badae inakuja kuongezwa kwa 15% na unaanza kunikata bila makubaliano na wala me cjasaini mkataba wa 15% ya makato Ila umeamua tu kunikata, sheria ya mkopaji hapo inasemaje? Me nadhani km mabadiliko hayo yalitakiwa yaanze kwa wateja wapya na sio wa zamani
Hili la kukatwa 15% kuna mdau mmoja aliwahi kulijadili,kuwa duniani hakuna sheria inayotungwa na kutumika kwa kipindi kilichopita."LHRC tunajiandaa kuandaa kesi kupinga malipo ya bodi ya mikopo ya 15% kwa waliopata elimu ya juu tutakuwa na kikao na mawakili jumanne next week saa 10 ofisi za LHRC karibuni mawakili pia mje kwa wingi."
Advocate Patience Mlowe