bluetooth
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 4,402
- 2,550
Nina eneo la eka 14 lina hati miliki, lipo moshi kilometer 4 kutoka barabara kuu ya kwenda Dar na umbali wa kilometer 5 kutoka moshi mjini.. eneo linaangukia ktk halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini...eneo linaitwa Yamu makaa... jimbo la vunjo.... water table is suitable for reliable water source... fertile soil.....terain of land is completely flat
ninawazo la kutransform eneo lote hilo into a horticultural farming hub..ninaomba ushauri na mawazo mbalimbali ya wadau husika ili nianzishe horiculture farm either in perishables kama vegetables , maua kama inavyofanywa arusha... au special crops kama vanilla .... nipo tayari kuingia kwenye MOU ya kutengeneza pilot project na mtu yeyote yule.. dhumuni kubwa ni kwamba tutakapofanikiwa kutransform the land into agribusiness use basi tuta promote wenye mashamba kufanya kilimo hicho halafu sisi tuta monopolize market
..... maeneo hayo yanayozunguka eneo hili ni makubwa sana ...maeneo yote hulimwa mahindi katika msimu wa mvua...
naomba nipatae ushiriki wenu katika kulitekeleza wazo hili lifikie uhalisia... na kuangalia fursa muhimu kutoka nyanja mbalimbali,
ninaamini mapinduzi ya kilimo yanahitaji ubunifu mkubwa kwanza baina ya wana jamii kabla ya kuingiza sera za siasa...
naomba uni PM kama una details yeyote unayohitaji