mmmh!!!! mbona mm sipo?
Mh..lollipop....
Hahahaha mie mwenzio lol...
Bora kama nimepata mwezangu
weka na ya wanaume!!
HAya tuletee na sie midume shape zetu,binafsi sikuhizi sioni raha maeneo ya fukwe kutembeza mtumbo wakati vijana wenzangu wakijirusharusha huku wakidisplay abs za kufa mtu!
Hahahahaha sie tukikimbizwa tunakimbia kama paa maana hatuna mizigo nyuma ati lol....