Mwa chando
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 359
- 122
Nilikuwa Twn leo ghafla majambazi yakaingia kuvamia bank ya CRDB nikaxma rahaasha ngoja nipige 112,
nilipopiga nikaambiwa kwa kiswahili bonyeza 1 kwa kingeleza bonyeza 2, nikabonyeza 1,
nikaambiwa tena kwa zima moto bonyeza 1 kwa barabarani bonyeza 2 kwa ujambazi na wizi bonyeza 3,
nikabonyeza 3,
nikaambiwa kama majambazi wana marungu na mapanga bonyeza 1 kama wana bunduki SMG,AK bonyeza 2 na kama wana mabomu bonye 3 kama wanavyote kwa pamoja bonyeza 4,
mimi nikabonyeza 4 mara cm ikakatwa napga haipatikani!!