112 haina kazi au usiku hawapokei?

112 haina kazi au usiku hawapokei?

Niliwahi kuhoji hayo nikapewa ufafanuzi wabongo huwa wanapiga 112 kutwa nzima na usiku badala ya kutoa shida zao wanatukana matusi wengine wanafanya mzaha nadhani kwa usajili huu wa simu tatizo litaondoka maana wanasababisha hata wenye tatizo la ukweli kukosa huduma.
Lazima wawe na system ya kuweza kuonyesha namba ya mtu anayepiga ili kama ametukana matusi iwe rahisi kumpata. Inaonekana wanaoperate kianalojia!
 
Sisi tulishawahi kuvamiwa,wakati wanahangaika hao wezi kuingia ndani nikapiga simu polisi majibu nilioambiwa”Oohh gari halipo limeenda doria”
Nikavuta subira kama dk6 hivi nikapiga tena kisha nikawaambia hadi muda huu wameshauwawa majambazi sita,walivoskia hivyo wakaja fastaaa,!!!!
Kufika mtaani kwetu tu wakaanza kuziskia risasi na wao wakajibu kwa risasi
Hio ikasaidia wale wezi wakakimbia
Kulipokucha tuliitwa kituoni kutoa maelezo na OCD akaniuliza kwann jana uliwadanganya maaskari waliopo zamu kuwa majambazi wameuwawa??
Nikamjibu “Walivosikia wekufa ndio wakaja Fastaa,,”[emoji1321]
 
siku nyingine ukivamiwa uwe una washa taaa unazima unawasha unazima af unaangusha vyombo jikoni
 
Mambo ya ajabu sana haya. Mi nshajiamulia. Nimeenda Kariakoo nimenunua filimbi 6. Moja yangu. Moja wife. Moja Dada wa kazi. Mbili nimewapa wanangu. Moja akiba kwa mgeni. Nimeshawafundisha. Wakiskia naipiga tu, kila Mmoja achukue yake apulize.
 
Usiku huu majira ya saa 1:35 hivi tumevamiwa nyumban kwa kuwa wezi walikuwa wanakomaa kuvunja gate nikapiga 112 jaman haipokelewi mpaka nikabid nipige 111 lakin bado ikawa ni tatizo mpaka tulipo piga kwa majiran ndo mmoja alikuwa na namba ya askari akawaita lakini hakutokea ila muda huo jiran ndo wametoa msaada lakini polisi mpaka mwenyekiti alipo mpigia Ocd ndo wakatokea tena baada ya tukio sasa swali langu hizi namba huwa zinatolewa za nini kama hazina msaada mpaka wanazidiwa na voda imeniuma sana siezi sahau na huko mikoa mingine ni hv embu nijuzen ili nijaze namba za askar kila sehem ntakayofika nichukue namba za askari kuliko 112 au 111 maana nimejuta.
Leo mnaona Askari polisi ni muhimu?

Simsemaga wale ni policcm?
Mara hawajasoma, mara hawana akili, wanalala nje, wanaliwa na mbu wanafanya kazi za kimaskini.

Wabongo nyie muwe na akiba ya maneno
 
Leo mnaona Askari polisi ni muhimu?

Simsemaga wale ni policcm?
Mara hawajasoma, mara hawana akili, wanalala nje, wanaliwa na mbu wanafanya kazi za kimaskini.

Wabongo nyie muwe na akiba ya maneno
Umeiva mzee! Uko tayari kwa ukuu wa wilaya now
 
Sisi tulishawahi kuvamiwa,wakati wanahangaika hao wezi kuingia ndani nikapiga simu polisi majibu nilioambiwa”Oohh gari halipo limeenda doria”
Nikavuta subira kama dk6 hivi nikapiga tena kisha nikawaambia hadi muda huu wameshauwawa majambazi sita,walivoskia hivyo wakaja fastaaa,!!!!
Kufika mtaani kwetu tu wakaanza kuziskia risasi na wao wakajibu kwa risasi
Hio ikasaidia wale wezi wakakimbia
Kulipokucha tuliitwa kituoni kutoa maelezo na OCD akaniuliza kwann jana uliwadanganya maaskari waliopo zamu kuwa majambazi wameuwawa??
Nikamjibu “Walivosikia wekufa ndio wakaja Fastaa,,”[emoji1321]
Hahaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom