11 Political and Economic Experts present strong case for 2-government Union

11 Political and Economic Experts present strong case for 2-government Union

Nimejitahidi kusoma maoni kuhusu muungano/
Wanaopendekeza serikali mbili au tatu wote hawana maelezo unapowa-challenge kuhusu kero zitazojitokeza.
Mfumo wa maana ni serikali kuu moja tu. The rest is blah blah, honestly.
Wewe ni kama mimi.

Wanaotaka serikali tatu wao wako busy kushambulia matatizo na madhaifu ya serikali mbili na wale wanaotaka kuendeleaa na serikali mbili wako busy kushambulia wanaotaka matatizo na madhaifu ya serikali tatu.

Hakuna kikundi kinachojenga hoja mbadala kueleza jinsi muundo wa serikali wanaoupenda utakavyopambana na changamoto katika madhaifu yake.

Mpango ni serikali moja au kila nchi ichukue fito.
 
Ng'wamapalala,

..miaka ya 90, Prof.Malyamkono na wataalamu wenzake waliandika kitabu kinachoeleza jinsi Zanzibar ilivyokuwa ni mzigo kwa serikali ya muungano/tanganyika.

..kitabu hicho kilieleza kuwa Zanzibar imekuwa haichangii chochote kile ktk masuala ya muungano, na kwamba haiwezi kusimama peke yake kiuchumi nje ya muungano.

..kwa mtizamo wangu, Prof.Malyamkono na wasomi wenzake walipaswa kutafiti kuhusu scenarios zote zinazohusu mahusiano ya Tanganyika na Zanzibar ambazo kwa maoni yangu ni, muungano wa serikali 1, muungano wa mkataba, muungano wa serikali 2, na mwisho muungano wa serikali 3.

..zaidi, wajumbe wa Tume ya Warioba wameeleza kwamba KERO za muungano zimeshindikana kutatuliwa kwa muda wa MIAKA 50 kwasababu chanzo chake, au tatizo, ni MUUNDO WA MUUNGANO SERIKALI MBILI. Kwa maana nyingine, kero za muungano ni sawa na "magonjwa nyemelezi" ambayo yanatokana na "gonjwa kuu," sasa mganga anatakiwa ajielekeze kutibu "gonjwa kuu", na hayo "magonjwa nyemelezi" nayo yataondoka.

cc We know next, timbilimu, Maendeleo tu, Nguruvi3, gombesugu

Ni kweli kwamba gonjwa kuu ni muundo wa muungano,kwasababu muundo bora utawezeshesha rasilimali za Tanganyika kuwafaidisha Watanganyika na Zanzibar itaweza kupumua na kujijenga kiuchumi bila shinikizo toka nje. Itawawezesha viongozi/watawala wa Zanzibar kuwa wabunifu zaidi badala ya kutegemea pesa za bure toka Tanganyika.

Malyamkono na wenzake wameshindwa kuonyesha kwamba muundo wa muungano umesababisha viongozi wa Zanzibar kudeka na kuwa tegemezi. Walitakiwa kujiuliza kama Zanzibar itaimarisha miundombinu yake kwa mfano Airport na Bandari na kuwekeza zaidi ktk Utalii wanashindwa kujiendesha na kuchangia kiasi kinatakiwa ktk shughuli chache za mambo ya muungano? Wakigundua Mafuta ya kuchimba kibiashara kutakua na maelewano tena?
 
A TEAM of dons led by the Chief Executive Officer of the Eastern and Southern African Universities Research Project (ESAURP), Prof Teddy Malyamkono, handed over a book titled ‘100 Academics in Search of Katiba Bora Tanzania,’ which emphasises on retaining the current structure or a switch to a one-government union. The book, which was handed over to the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly (CA), Ms Samia Suluhu Hassan, is a work of 11 experts who researched on various matters related to the Union of Tanganyika and Zanzibar. Prof Malyamkono was accompanied by the Dean of the School of Law in the University of Dar es Salaam, Prof Bonaventura Rutinwa and an economist from the same university, Prof Nehemiah Osoro. Prof Rutinwa said that the book looked at issues related to citizenship and rights of the people and found it necessary that the union remain as it is or a possible switch to a ‘’one-government one considered.’’ “The constitution of Zanzibar has since 2003 stated that it is a country while the current one just repeated the former; this should not be a matter of concern,” he observed. He added that a three-government union will not give equal rights to the people, pointing out that the Constitution of Zanzibar has already given exclusive rights to its people on some areas, while hindering the same to people on the Mainland. On his part, Prof Osoro focused on the economic implications as discussed in the book, saying that a three-tier union, as proposed by the Constitution Review Commission (CRC) in the Second Draft of the Constitution, ‘’will weaken the union government and make it poorer.’’ He reiterated President Jakaya Kikwete’s statement that such a situation could force the army to overthrow the government in case the two governments refuse to give monies to the Union government. He pointed out that research conducted by the team of experts shows that though the CRC proposes the reduction of Union matters from 22 to 7, the cost of running such a government will go down slightly because the matters removed were not costly ones. “Those who are proposing the three-tier union basing on economic argument are not genuine, because such argument does not hold water here; we can only reduce costs by 6 per cent,” he said. Prof Malyamkono pointed out that ESAURP, which is an umbrella for various public universities from 12 African countries, embarked on the research and found out that 50 years of the Union were enough to warrant a move to a one-government arrangement. “It is not true that Zanzibar has gone too far in breaking the union, we can still move on with the current structure or switch to one government,” he pointed out. At least 700 copies of the book have been submitted for distribution to CA members to serve as point of reference in broadening their knowledge. Ms Samia commended the academics for their work and promised to distribute the books to members. She said the publications will broaden the members’ knowledge as they deliberate on the draft constitution to enable them come up with the best constitution, which will meet the needs of Tanzanians. Source: Dailynews.
uchafu wote huu ukiufupisha utaona..hawa wehu bado wanaishikia chini CCM tena wakidhani wanaikomboa.....JK alisema gharama inaongezeka, hawa wanasema kuwa itapungua kwa 6% percent...as if hajui hata uchumi unaosifika unakuwa kwa asilimia kidogo sana....sijui hajui hizo asilimia zitaongeza kipato kwa hizo asilimia?Na asilimia 6 si mzaha ktk uchumi wa nchi.....matumizi yetu ta trilios ukio 6% anaweza pata nini kinaweza punguzwa ktk kero za maisha.
 
Nafikiri Hoja hii imejibiwa vizuri na Prof. Lipumba jana, Hii ikiwezekana mods muiondoe mueke ile ya pfof. Lipumba. Kwasababu ilikua ina nondo mfululizo na zenye ukweli, nafikiri baada ya profesa wa ukweli kumaliza kuongea waliokua wanangangania serikali 2 mmepata funzo.
 
Back
Top Bottom