11 Political and Economic Experts present strong case for 2-government Union

11 Political and Economic Experts present strong case for 2-government Union

awali ya yote nilikua namheshimu sana Prof Osoro lakini kwa hili naona amejipaka majivu. Swali: Kwa nini kama walifamya kama academicians kwa nini hawakuileta kwa academician kwanza tuisome tutoe critiques zetu nio ipelekwe kwa wanasiana? Kwa nini wamekimbilia Dodoma badala ya kuitoa kwenye Vyuo (EAUSAP) kama wanavyofanya kwenye mambo mengine? na hao wasomi 100 ni kina Nani?
Mimi sina wasi wasi na kazi zao lakini wasiwasi wangu ni motive behind na njia wanayoitumia kufikisha ujumbe katika Bunge Maalum
 
Jamani Watanzania...hivi kuna mchezo gani mchafu unaoendeea kuhusiana na hii Katiba? Mwenzenu naona yafuatayo:

1. Ukiangalia kwa ukaribu zaidi...utaona kuwa huu mchakato wa katiba kama vile ulishapangwa na kila kitu kinaletwa kwa wakati wake. Nashangaa hawa ESAURP walikuwa wapi wakati wa kutoa maoni?

2. TOR ya Bunge la Katiba ni kujadili rasimu ya Katiba na si kuanza kukusanya maoni toka kwa watu,...Lakini kwa vile Bunge lilikubali kupokea maoni ya nje ya rasimu toka kwa hotuba ya Rais..zikafuata hotuba za wanasiasa na mapinduzi ya Kijeshi na Makongamano ya wahadhiri na sasa ESAURP ndio naona kabisa huu ni high level mpango uliokwisha pangwa.

3. Sasa Naamini, mwaka jana mwanzoni around January or February kuna mtu mmoja toka jikoni nilimsikia akisema Katiba imeshaandikwa inasubiri kuja kutolewa.

Tumefika kipindi ambacho kama taifa, tunahitaji rehema za MUNGU na kufikiria kwa Busara ya hali ya juu. Kwa kifupi tunahitaji Busara za watu kama akina Mzee Madiba - Mandela.

A TEAM of dons led by the Chief Executive Officer of the Eastern and Southern African Universities Research Project (ESAURP), Prof Teddy Malyamkono, handed over a book titled ‘100 Academics in Search of Katiba Bora Tanzania,’ which emphasises on retaining the current structure or a switch to a one-government union.

The book, which was handed over to the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly (CA), Ms Samia Suluhu Hassan, is a work of 11 experts who researched on various matters related to the Union of Tanganyika and Zanzibar.

Prof Malyamkono was accompanied by the Dean of the School of Law in the University of Dar es Salaam, Prof Bonaventura Rutinwa and an economist from the same university, Prof Nehemiah Osoro.

Prof Rutinwa said that the book looked at issues related to citizenship and rights of the people and found it necessary that the union remain as it is or a possible switch to a ‘’one-government one considered.’’

“The constitution of Zanzibar has since 2003 stated that it is a country while the current one just repeated the former; this should not be a matter of concern,” he observed.

He added that a three-government union will not give equal rights to the people, pointing out that the Constitution of Zanzibar has already given exclusive rights to its people on some areas, while hindering the same to people on the Mainland.

On his part, Prof Osoro focused on the economic implications as discussed in the book, saying that a three-tier union, as proposed by the Constitution Review Commission (CRC) in the Second Draft of the Constitution, ‘’will weaken the union government and make it poorer.’’

He reiterated President Jakaya Kikwete’s statement that such a situation could force the army to overthrow the government in case the two governments refuse to give monies to the Union government.

He pointed out that research conducted by the team of experts shows that though the CRC proposes the reduction of Union matters from 22 to 7, the cost of running such a government will go down slightly because the matters removed were not costly ones. “Those who are proposing the three-tier union basing on economic argument are not genuine, because such argument does not hold water here; we can only reduce costs by 6 per cent,” he said.

Prof Malyamkono pointed out that ESAURP, which is an umbrella for various public universities from 12 African countries, embarked on the research and found out that 50 years of the Union were enough to warrant a move to a one-government arrangement.

“It is not true that Zanzibar has gone too far in breaking the union, we can still move on with the current structure or switch to one government,” he pointed out.
At least 700 copies of the book have been submitted for distribution to CA members to serve as point of reference in broadening their knowledge.

Ms Samia commended the academics for their work and promised to distribute the books to members.
She said the publications will broaden the members’ knowledge as they deliberate on the draft constitution to enable them come up with the best constitution, which will meet the needs of Tanzanians.

Source: Dailynews.
 
Mimi sina wasi wasi na kazi zao lakini wasiwasi wangu ni motive behind na njia wanayoitumia kufikisha ujumbe katika Bunge Maalum

Mkuu wangu,motive behind ni kuwatumikia watawala kwa kuwapa hoja kwamba mnaona hata Wasomi wanasema Serikali tatu haziwezekani. Hii kitu nakumbuka iliandikwa ktk Gazeti la Raia Mwema miezi miwili iliyopita kwamba CCM/SJMT imewapa kazi ya kuandika rasimu mbadala wasomi wa UDSM wakiongozwa na Prof. Malyamkono. Walitajwa kama wasomi marafiki wa CCM.

Kinacho fanyika sasa ni vurugu ukizingatia maoni yao walitakiwa kuyapeleka ktk Tume ambayo imeisha maliza kazi na kuvunjwa. Ni uvunjaji wa taratibu wa wazi kwa manufaa ya Watawala. Unaondoa uwezekano hata kupata maridhiano. Nasikitika zaidi kusikia hata Prof. Rutinwa yupo ktk hii chumia tumbo. Malyamkono sina tatizo sababu hajaanza leo kuchumia tumbo.
 
I don't need to be an intelectual to understand that there is no Tanzania if there is no Tanganyika and Zanzibar together. I.e. if Zanzibar exists then Tanganyika should exist too. It is high time whether we disolve both Tanganyika and Zanzibar to maintain our beautiful Tanzania or keep both partners who gave birth to URT. Tatizo umimi umetawala vichwa vya watu ndiyo maana serikali moja haizungumziki hapa
 
Ng'wamapalala,

..miaka ya 90, Prof.Malyamkono na wataalamu wenzake waliandika kitabu kinachoeleza jinsi Zanzibar ilivyokuwa ni mzigo kwa serikali ya muungano/tanganyika.

..kitabu hicho kilieleza kuwa Zanzibar imekuwa haichangii chochote kile ktk masuala ya muungano, na kwamba haiwezi kusimama peke yake kiuchumi nje ya muungano.

..kwa mtizamo wangu, Prof.Malyamkono na wasomi wenzake walipaswa kutafiti kuhusu scenarios zote zinazohusu mahusiano ya Tanganyika na Zanzibar ambazo kwa maoni yangu ni, muungano wa serikali 1, muungano wa mkataba, muungano wa serikali 2, na mwisho muungano wa serikali 3.

..zaidi, wajumbe wa Tume ya Warioba wameeleza kwamba KERO za muungano zimeshindikana kutatuliwa kwa muda wa MIAKA 50 kwasababu chanzo chake, au tatizo, ni MUUNDO WA MUUNGANO SERIKALI MBILI. Kwa maana nyingine, kero za muungano ni sawa na "magonjwa nyemelezi" ambayo yanatokana na "gonjwa kuu," sasa mganga anatakiwa ajielekeze kutibu "gonjwa kuu", na hayo "magonjwa nyemelezi" nayo yataondoka.

cc We know next, timbilimu, Maendeleo tu, Nguruvi3, gombesugu
 
hawa ndio walewale m.b.wa walioshauri uuzaji wa nyumba za serikali, ndio walioandaa mikataba ya madini na kufanikisha Epa. Wasomi hawa ni kama c.o.ndom tu. Tuwapinge.
 
The good thing about our so called academia/experts always do provide stomach statement rather than brain statement!!
 
-Wanachuo serikali 2
-Prof Shivji serikali 2
-Jopo la maprofesa serikali 2
-Kadinari Pengo serikali 2
-Mabaraza ya katiba serikali 2
Sasa kimebaki nini tena? tukubali yaishe.
 
Ng'wamapalala,

..miaka ya 90, Prof.Malyamkono na wataalamu wenzake waliandika kitabu kinachoeleza jinsi Zanzibar ilivyokuwa ni mzigo kwa serikali ya muungano/tanganyika.

..kitabu hicho kilieleza kuwa Zanzibar imekuwa haichangii chochote kile ktk masuala ya muungano, na kwamba haiwezi kusimama peke yake kiuchumi nje ya muungano.

..kwa mtizamo wangu, Prof.Malyamkono na wasomi wenzake walipaswa kutafiti kuhusu scenarios zote zinazohusu mahusiano ya Tanganyika na Zanzibar ambazo kwa maoni yangu ni, muungano wa serikali 1, muungano wa mkataba, muungano wa serikali 2, na mwisho muungano wa serikali 3.

..zaidi, wajumbe wa Tume ya Warioba wameeleza kwamba KERO za muungano zimeshindikana kutatuliwa kwa muda wa MIAKA 50 kwasababu chanzo chake, au tatizo ni MUUNDO WA MUUNGANO SERIKALI MBILI. Kwa maana nyingine kero za muungano ni sawa na "magonjwa nyemelezi" ambayo yanatokana na "gonjwa kuu," sasa mganga anatakiwa ajielekeze kutibu "gonjwa kuu", na hayo "magonjwa nyemelezi" nayo yataondoka.
Hapo nilipokazia pana sema kila kitu.
 
Hapo nilipokazia pana sema kila kitu.
Nguruvi3,

..huwezi kuzishughulikia kero za muungano kwa kutumia mfumo wa serikali 2.

..kwa mfano, inasemekana moja ya mapendekezo ya CCM ni kuanzisha bunge la Tanganyika.

..sasa ukishakuwa na bunge , isnt it automatic kwamba lazima uwe na serikali inayosimamiwa na bunge hilo?

..CCM wenyewe wanaona tunaweza kuwa na bunge la Tanzania, baraza la wawakilishi Zanzibar, na bunge la Tanganyika, lakini tukaendelea na serikali hizihizi mbili.
 
Last edited by a moderator:
Nimejitahidi kusoma maoni kuhusu muungano/
Wanaopendekeza serikali mbili au tatu wote hawana maelezo unapowa-challenge kuhusu kero zitazojitokeza.
Mfumo wa maana ni serikali kuu moja tu. The rest is blah blah, honestly.
 
Nguruvi3,

..huwezi kuzishughulikia kero za muungano kwa kutumia mfumo wa serikali 2.

..kwa mfano, inasemekana moja ya mapendekezo ya CCM ni kuanzisha bunge la Tanganyika.

..sasa ukishakuwa na bunge , isnt it automatic kwamba lazima uwe na serikali inayosimamiwa na bunge hilo?

..CCM wenyewe wanaona tunaweza kuwa na bunge la Tanzania, baraza la wawakilishi Zanzibar, na bunge la Tanganyika, lakini tukaendelea na serikali hizihizi mbili.
Huwa najiuliza hivi hawa watu wanatumia nini zaidi ya kichwa katika kufikiria. Unawezaje kuwa na mhimili mmoja wa bunge pekee, mhimili wa mhakama ukategemea eneo lingine na serikali ikawa nyingine. Unawezaje ku synchronize business katika model hiyo ya CCM.
Wasichotaka kusikia ni serikali 3, ingawa moyoni wanaamini serikali 3.
 
Swali la msingi hapa ni Tanzania ni zao la nini? Na je ni sahihi kusema Tanzania na Zanzibar? Kama Tanzania ilitokana na TAN yaani Tanganyika na ZAN yaani Zanzibar ni vipi leo tukisema Tanzania tujipe tafsiri kuwa tukisema Tanzania tunamaanisha pia Tanganyika! Kwa mkanganyiko huu napata taabu sana kumfafanulia mwanangu mwenye kufikiria kidigitali juu ya huu muungano wetu. Msimamo wangu ni mmoja tu SERIKALI MOJA ndiyo suluhisho. Najua hili ni gumu kwani wakati napigania hili kuna wachache kama mimi wanataka mamlaka kamili... Nafikiri huu mchakato hautafanikiwa mpaka jibu kati ya serikali 3 au 1 litakapopatikana. Na kwa mtaji huu, hatutajadili jinsi gani ya kuendeleza nchi yetu tuondokana na umasikini maana wajanja wametutega hapa... Haya tuendelee kutafakari
 
A TEAM of dons led by the Chief Executive Officer of the Eastern and Southern African Universities Research Project (ESAURP), Prof Teddy Malyamkono, handed over a book titled ‘100 Academics in Search of Katiba Bora Tanzania,' which emphasises on retaining the current structure or a switch to a one-government union.

The book, which was handed over to the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly (CA), Ms Samia Suluhu Hassan, is a work of 11 experts who researched on various matters related to the Union of Tanganyika and Zanzibar.

Prof Malyamkono was accompanied by the Dean of the School of Law in the University of Dar es Salaam, Prof Bonaventura Rutinwa and an economist from the same university, Prof Nehemiah Osoro.

Prof Rutinwa said that the book looked at issues related to citizenship and rights of the people and found it necessary that the union remain as it is or a possible switch to a ''one-government one considered.''

"The constitution of Zanzibar has since 2003 stated that it is a country while the current one just repeated the former; this should not be a matter of concern," he observed.

He added that a three-government union will not give equal rights to the people, pointing out that the Constitution of Zanzibar has already given exclusive rights to its people on some areas, while hindering the same to people on the Mainland.

On his part, Prof Osoro focused on the economic implications as discussed in the book, saying that a three-tier union, as proposed by the Constitution Review Commission (CRC) in the Second Draft of the Constitution, ''will weaken the union government and make it poorer.''

He reiterated President Jakaya Kikwete's statement that such a situation could force the army to overthrow the government in case the two governments refuse to give monies to the Union government.

He pointed out that research conducted by the team of experts shows that though the CRC proposes the reduction of Union matters from 22 to 7, the cost of running such a government will go down slightly because the matters removed were not costly ones. "Those who are proposing the three-tier union basing on economic argument are not genuine, because such argument does not hold water here; we can only reduce costs by 6 per cent," he said.

Prof Malyamkono pointed out that ESAURP, which is an umbrella for various public universities from 12 African countries, embarked on the research and found out that 50 years of the Union were enough to warrant a move to a one-government arrangement.

"It is not true that Zanzibar has gone too far in breaking the union, we can still move on with the current structure or switch to one government," he pointed out.
At least 700 copies of the book have been submitted for distribution to CA members to serve as point of reference in broadening their knowledge.

Ms Samia commended the academics for their work and promised to distribute the books to members.
She said the publications will broaden the members' knowledge as they deliberate on the draft constitution to enable them come up with the best constitution, which will meet the needs of Tanzanians.

Source: Dailynews.

''Experts'' my foot, they cannot even manage thier own families! Where were this fake ''african experts'' were before... We depend almost everything from the west!
 
Malyamkono, namfahamu simwamini hata kidogo. Huyu ni mtu ambaye ameifanya taaluma yake kuwa mtumwa wa pesa. Huwa hakuna anachokiamini isipokuwa pesa. Anachokiamini na kukisimamia siku zote ni kile chenye kumpa pesa.

Je, mnafahamu kuwa kuna wasomi maprofesa ambao ni matapeli? Tena utapeli wao ni sophisticated, unaweza hata kumpigia makofi kumshangilia wakati ukitapeliwa. Mwulizeni Malyamkono, hiyo taasisi yake inatumia kigezo gani kuwa na wafanyakazi zaidi ya 80% wahaya tu? Hiyo pesa aliyotumia kufanyia utafiti na kufanya machapisho ya hivyo vitabu ilitolewa na nani? Kwa Malyamkono, aliyetoa pesa kugharamia utafiti huo ndiyo ambaye hutoa jibu la utafiti wake.
 
Siwafahamu kiundani hao wenzake lakini kwa Malyamkono, I can dare to say he is a useless professor of no measure.
 
A TEAM of dons led by the Chief Executive Officer of the Eastern and Southern African Universities Research Project (ESAURP), Prof Teddy Malyamkono, handed over a book titled ‘100 Academics in Search of Katiba Bora Tanzania,’ which emphasises on retaining the current structure or a switch to a one-government union.

The book, which was handed over to the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly (CA), Ms Samia Suluhu Hassan, is a work of 11 experts who researched on various matters related to the Union of Tanganyika and Zanzibar.

Prof Malyamkono was accompanied by the Dean of the School of Law in the University of Dar es Salaam, Prof Bonaventura Rutinwa and an economist from the same university, Prof Nehemiah Osoro.

Prof Rutinwa said that the book looked at issues related to citizenship and rights of the people and found it necessary that the union remain as it is or a possible switch to a ‘’one-government one considered.’’

“The constitution of Zanzibar has since 2003 stated that it is a country while the current one just repeated the former; this should not be a matter of concern,” he observed.

He added that a three-government union will not give equal rights to the people, pointing out that the Constitution of Zanzibar has already given exclusive rights to its people on some areas, while hindering the same to people on the Mainland.

On his part, Prof Osoro focused on the economic implications as discussed in the book, saying that a three-tier union, as proposed by the Constitution Review Commission (CRC) in the Second Draft of the Constitution, ‘’will weaken the union government and make it poorer.’’

He reiterated President Jakaya Kikwete’s statement that such a situation could force the army to overthrow the government in case the two governments refuse to give monies to the Union government.

He pointed out that research conducted by the team of experts shows that though the CRC proposes the reduction of Union matters from 22 to 7, the cost of running such a government will go down slightly because the matters removed were not costly ones. “Those who are proposing the three-tier union basing on economic argument are not genuine, because such argument does not hold water here; we can only reduce costs by 6 per cent,” he said.

Prof Malyamkono pointed out that ESAURP, which is an umbrella for various public universities from 12 African countries, embarked on the research and found out that 50 years of the Union were enough to warrant a move to a one-government arrangement.

“It is not true that Zanzibar has gone too far in breaking the union, we can still move on with the current structure or switch to one government,” he pointed out.
At least 700 copies of the book have been submitted for distribution to CA members to serve as point of reference in broadening their knowledge.

Ms Samia commended the academics for their work and promised to distribute the books to members.
She said the publications will broaden the members’ knowledge as they deliberate on the draft constitution to enable them come up with the best constitution, which will meet the needs of Tanzanians.

Source: Dailynews.

Kopi 700 walizotoa 'wasomi' hao kwa bunge la katiba zinalipiwa na nani? Je sio serekali dhalimu ya sisiem?
 
Back
Top Bottom