10th Freemassons Conference - Whitesands


wenye majengo do not need2wory about the brand:look around urself;tazama brnds kwenye nguo yako,saa yako,simu yako, chupi yako,kiatu chako., chupi yako...... R u affiliated 2those brnds?. Freemansons ni jumuiya ya wakata mawe na siyo dini lv alone kuwa dini ya mashetani. Until u convice me other wise dini ya mashetani ninayoijua mimi ni ya wale wanaochinja albino kila siku, wanaochuna ngozi, wanao iba wtt kila siku. inasemekana 2nao ktk maisha yetu ya kila siku lakini hatuwajui.(nitakujulisha dini nyingine ya mashetani nikisha kunywa uji).
 
Inasemekana kuna uhusiano wa moja kwa moja baina ya Grand Corruption inayotukia nchini na hawa freemasons. These people are evil in everyway. Hivo vijisenti wanavyojifanya kusaidia sijui zahanati sijui shule is just a smoke screen.
 
They are devil worshiper for real. kila mtu anajua hilo hadi watoto. we wa wapi?!
 
ivi waliosema 21 dec 2012 ni mwisho wa dunia si ndio wao pia? nimeiona jana GP
 
They are devil worshiper for real. kila mtu anajua hilo hadi watoto. we wa wapi?!

Hii thread ina upotoshaji wa hali ya juu.
Now first, Freemasonry IS NOT Christian in orgin or doctrine. It is open to men of all religions and masons take pride is having the freedom to conceive of their own ideas of God and support their brother's right to this also.
-Anon

Kabla ya kuanza kujazana uongo tutafute Regius Manuscript.
 
They are devil worshiper for real. kila mtu anajua hilo hadi watoto. we wa wapi?!

evidence plz, may u kp quiet if ugat no singe evidence?. Muda wa mambo ya kufikirika umepita.
 
ivi waliosema 21 dec 2012 ni mwisho wa dunia si ndio wao pia? nimeiona jana GP

from the same media house, tafuta NASA wanasemaje kuhusu sayari x. Usipote readers kwa kunukuu sehemu ndogo ya habari.
 
Josephine;
Huwezi ukaabudu kitu bila ridhaa yako, wala huwezi kuabudishwa. Inatakiwa wewe uwe na imani kwanza na ukubaliane na misingi ya kile unachotaka kukiabudu baada ya kuwa umeridhika nacho. Huwezi ukamtegesha mtu kuabudu kitu na pasiopo yeye kujua kama anaabudu. Huko siyo kuabudu! Wakati mwingine tuanapenda kujijengea mazingira ya kutusababisha tuwe na hofu ya ajabu pasipokuwa na sababu za msingi!
 
Angalizo, pia kuna wanaondhania wanamwabudu Mungu kumbe ni shetani, Bwana Yesu alishatuhadharisha "Sio wote waitao Bwana Bwana ni wangu, watakuja watu, watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu!"
 
Hardwood, hawa illuminati ni kama kikundi kingine kiitwacho rosecrusians, wanajiita rosae crusis alama yao ni msalaba wenye ua la rose ma tone la damu. Jamaa wana uwezo mkubwa kufanya mambo ya ajabu na wana nguvu za kiuchumi, ili kujiunga nao, lazima ule kiapo cha usiri. Mimi nilivutiwa na jinsi walivyo na powers na nikajiunga nao ila nilipofika stage ya kulas kiapo, moyo wangu ukasita, nikaachana nao.
wao wanapatikana
http://www.rosicrucian.org/home.html
 
Gama
-on the brands part, i was being skeptical to whether some of the roman rulers were too masons. Afu pia si lazima uwe mchonga mawe ndio uwe mason, ukiangalia list ya some of the known masons utaliona hilo.
-ukisoma the last sentense of my previous post utaona nasema hamna ushahidi wa kuwa hawa wanaamini mashetani, and thats the point i have been making. I started by posing questions so that people go read abt them. There is nowhere were i've said it's a religion because i know it's not.
-on ur last point, my guess, you're talking abt Satanists but then again ur guardian angel is perceived to be a demon by your enemy.
-we're on the same page on many things though. Good one.
 
Jamani nduguzanguni tujihadhari sana na hawa j'maa kwani kutafuta mali ,uongozi na umaarufu kwa nguvu za shetani ndio sera yao ,tuache tamaa na tumuombe Mungu tutaweza kushinda .Zamani ilikuwa siri kubwa kuwajua hawa mashetani ila leo wanajidhihirisha wazi na kutafuta wafuasi, bora ufe masikini kuliko upate utajiri wa shetani hapa duniani na kesho Mungu akuangamize katika moto wa JAHANAM.
 
jamani cjui tunapingana nn kuhusu hawa watu hawa ni mpinga kristo live bila chenga na siku zote shatani ujigeuza kama malaika wa nuru ndio hii misaada unayoiona wanaitoa lakini inamsukumo wa kiimani kwao ss atulioni hilo na kamwe kwa vile una njaa akija mtu kakupa chakula utotaka kujua kwann kakupa chakula utona huyu ni mtu mwema ila hawa si watu wema na tukubali tusikubali tunamtumikia kwa vitu vingi bila ya ss kujua
 
Nyie mnaodai Freemason ni dini ya kishetani mmejuaje? Tatizo ni kwamba kila kikitokea kitu ambacho ni tofauti na dini tulizozizoea basi watu wanakimbilia kusema kuwa ni dini ya shetani.Hata Church of later saints (Mormons) wenye makanisa yao pale Morocco na kule Mabibo watu husema eti wanaabudu shetani. Nijuavyo mimi dini ya shetani (satanism) ipo na wala hawafichi wanaabudu kama dini nyingine ila tu huku kwetu haipo.
 
nadhani p.diddy angetupa hiyo email ili tuweze kutrace chanzo chake ingekuwa rahisi vinginevyo tutaishia kubuni na kusisitiza hizo story za kutungwa na akina shigongo.
huyo anayedai kwamba mkulu mkuu naye ni active member angetuthibitishia.
 

Duh
 
Hii thread ina upotoshaji wa hali ya juu.
-Anon

Kabla ya kuanza kujazana uongo tutafute Regius Manuscript.


check for shamanism in the net you will learn more
 

Andy Chande huyu ni Mhindi na nadhani alikuwa kwenye body ya TRC (now TRL) na inasemekana huyu aliplay part kubwa sana kwenye kuleta wale wahindi wawekezaji feki na kuliingizia hasara kubwa taifa kwa uwekezaji ambao si lolote si chochote. Huyu inasemekana ni rafiki wa Che Mkapa..(walewale).

Sasa nadhani kwa kuanzia mnaeza kusoma hiyo article kwamba kumbe alikuwa accused kutoa 'contribution' kwa chama cha akina Blair ili kupata 'Knighthood'.

Source ya zamani kidogo...lakini inatoa mwanga kidogo kuhusu mishemishe za hii branch ya Bilderberg.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…