Huwa najiuliza sana hivi picha ya NYOKA hospital huwa ina kazi gani?Hata nyoka kwenye shilingi mia tano inanipa mashaka sana na naona hawa jamaa ndio wenye hizo hela na tunawaabudu bila kujua kwa kutumia vitu vyenye nembo zao.
Habari ya kuchangia shughuli za kijamii si baya ila hatujui katika michango hiyo ni maisha ya watu wangapi yanapotea kutokana na hawa watu maana haijulikani wanapata wapi pesa,pia haijulikani kikundi chao kina mlengo gani.Kuna wakati nilikuwa napita pale nyuma ya Kempisky na kuliona jengo lao lakini hakuna hata siku moja niliyoweza kuona kuna mtu au lipo wazi,na hata nilipojaribu kuuliza walinzi wa maeneo yale nao hawakuwa na jibu kwa maana hawajawahi kuona mtu.
Jmani ogopeni hawa watu maana mwisho wake hakuna anayejua.
ilianza baada ya dini, ilianza wakati wa roman empire.If i may ask, is freemasonry a brotherhood or a religion? Mbona atheists ambao hawaamini uwepo wa Mungu hawaruhusiwi kujiunga na wale wanaoamini wanaruhusiwa?! Je freemasonry imeanza baada ya dini zetu au ilikuwepo hata kabla ya dini zetu? Tafadhali, naomba mnielimishe.
Ile nyumba ipo na mchana geti lipo wazi kama kawa.nikiwa hapo Dar es salaam niliwahi kuona Jengo moja pale jirani na BOT, Nyuma ya Kilimanjaro Hotel limeandikwa Freemasons, jengo moja la kale, bado sina hakika kama bado lile Jengo lipo, nikashangaa kuona kuwa wale jamaa wanafanya shughuli zao hadharani, sasa nikajiuliza shetani gani anafanya mambo kwenye mazingira hayo. mie sielewi. lakini pale si ndio makao makuu yao Hapa Tz.
hivi inawezekana tunatibiwa na hospital za FREEMASSONS nyingi bila kujijua...nimejiuliza hii ni moja ya waliotaja live yawezekana hata muhimbili na kweingineko tunapelekewa pesa zao za mashetani loh
nchi yangu umsikini wako kila mtu anakutumia
Ile nyumba ipo na mchana geti lipo wazi kama kawa.
Angalizo
Shetani hafanyi mambo kwa kujificha, angalia hao madem wanaotembea robotatu uchi je wanatembea kwa kujificha?
Gama
By dini nilikuwa namaanisha the largely known ones, christianity and islam, sorry i wasn't clear.
Anyways haipo clear when exactly freemasonry ilianza. Baadhi ya wanahistoria wanasema ni baada ya kuanzinshwa kwa Grand Lodge of England (ambapo ndio jibu lako linakuwa sawa) na pia kuna wengine wanaosema hawa jamaa walikuwepo way back lakini as a secret society communicating in symbols and codes.
Na kwa nini watu wanasema hawa ni "dini" ya mashetani? What evidence do people have?! Rituals? We all have different rituals. Kuna ambao wanaabudu sanamu, ng'ombe lakini hao wanaonekana si mashetani. Kwa nini hawa? Hapo hapo ukiangalia list ya top philanthropists utakuta atheists/agnostics/deists na masons, lakini bado hawa wanaonekana mashetani.
mi nawashauri wana jf pls dont be a member of such a thing,god forbid
Tatizo ni kwamba freemasons wapo ki-conspiracy zaidi kwahiyo hata kujua undani wao ni tabu sana. Information nyingi kuhusu freemasons ni za kusadikika. Pia inahusishwa na li-institution lingine linaitwa iluminati! Mbaya zaidi inasemekana control of the whole world iko chini yao. Vilevile ukiwa member unalishwa viapo vingi sana ili usithubutu kuvunja miiko yao. Member wengi wa hii kitu ndio ma-forbes wa dunia
Uhuru wa kuabudu ni binafsi, nikiabudu mnyama kama baadhi ya wahindi sawa, nikiabudu mti sawa, nikiabudu msalaba sawa, nikiabudu mwezi sawa. Duniani asilimia kubwa ya watu wengi(viongozi, wafanyabiashara) ni wafuasi wa Freemassons, Haikuhusu wewe. Unless uwe na sababu za ku-convince na siyo eti dini ya mashetani,wewe ulienda ukawaona????
Uhuru wa kuabudu ni binafsi, nikiabudu mnyama kama baadhi ya wahindi sawa, nikiabudu mti sawa, nikiabudu msalaba sawa, nikiabudu mwezi sawa. Duniani asilimia kubwa ya watu wengi(viongozi, wafanyabiashara) ni wafuasi wa Freemassons, Haikuhusu wewe. Unless uwe na sababu za ku-convince na siyo eti dini ya mashetani,wewe ulienda ukawaona????