103.3 classic fm imekuaje tena?

103.3 classic fm imekuaje tena?

fareed uziel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
667
Reaction score
721
Wadau wa hii redio mbona imekua hivi tena.wanapiga bongoflava wakati tushazoea redio yetu hii inapiga international hits tu..

Kama mambo yenyewe yashakua hivi kwaheri itabakia tbc fm tu.
 
MKUU SIO LEO TU TOKA JUZI MI NASHANGAA WANAPIGA HIZO MAMBO
Kwa sasa najifariji na 95.3
 
Nilidhani ni mimi pekee niliyeshtuka, kwa mabadiliko haya nimejaribu kidogo kuzirudia stations zingine lakini imekuwa ngumu. Nawaza kuboresha mfumo wa cd/flash disc ili nirudi huko maana hakuna namna.
Lakini ni kama bbc world inakuwepo lakini mida haitabiriki.
 
Sijui walikua wanawaza nini?
 
Nilidhani ni mimi pekee niliyeshtuka, kwa mabadiliko haya nimejaribu kidogo kuzirudia stations zingine lakini imekuwa ngumu. Nawaza kuboresha mfumo wa cd/flash disc ili nirudi huko maana hakuna namna.
Lakini ni kama bbc world inakuwepo lakini mida haitabiriki.
Ilikuwaje classic fm wakachukua hizo frequency za bbc world ?
 
Back
Top Bottom