101.4 FM BBC World Service Dar es Salaam

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,174
wakubwa wa kazi.

hivi karibuni moja ya vituo vya redio ninavyopenda kusikiliza bila kubadili stesheni, 101.4 FM kimekuwa hakirushi matangazo ya BBC World Service na badala yake kinapiga muziki tu.

Kuna anayejuwa ni kwa nini maana sasa nimekuwa kama nimetengwa na dunia ya habari?
 
unamaanisha 103.3 nackia kusaga ndo ana imiliki now itakuwa wameiuza
 
Ebu ngoja niendelee kusoma comments, labda nitaelewa huko mbeleni
 
Kumbe tunaoteseka tuko wengi aisee, nilishataka kubadilisha radio kwa kudhani ndio ina matatizo kumbe na wenzangu ndio hivyo! Kulikoni jamani 101.3!?
 
Nimesoma kwenye bongo 5 kuwa ya kusaga wa clouds, waneahidi watakuwa wanapiga nyimbo tu
Kwa maana hiyo hatutamsikia tena Akwesi Saprong, Bora, Kim, Audrey Brown ...yaani tuhamie udaku sio!
 
Ni pigo kubwa sana, kurudi tena uswahilini bora tuwaombe ''kameme FM'' wafungue radio hapa maana hizi za bongo bado saaaaana
 
Nimepata shida sana juma hili na itanichukjua zaidi ya mwaka ku cop up.
Nawaza kujaribu live stream kwenye simu lakini sidhani kama itakuwa effective kana radio!
 
It's true if you are used to listening to broadcasts from such stations as bbc world service, voa news, cnn radio and the sort you will struggle having to switch to local stations news bulletins that lacks quality, limited in coverage and untimeliness.

i can understand your frustrations. unfortunately internet is costly in tanzania leave alone its limitedness otherwise all those are easily accessible online.
http://www.bbc.co.uk/radio/player/bbc_world_service
http://www.voanews.com/
also if you search voa1-the hits that voa station is speacial for hit music and news 24 hours with special africa coverage daily

my advice try the following
1. Try Short Wave transimission (SW) in your radio. the quality is not good though compared to what you would expect from FM transmissions but it gets better in night times. When i was in Tz i used to listen to bbc world services via SW before i acquired dstv

2. this is the most reliable. DSTV decoder. IF you are connected to DSTV in your home then you are set to enjoy more than what you are missing now. it is most likely that the said 101.3 fm was also linking you to bbc via dstv decoder. the dstv decoder has so many radio stations embedded in it. so many that you will be surprised. hapo ni 24 hours unapata idhaa za kiingereza karibia zote kubwa duniani na ndogo pia. mimi ni mpenzi wa english news toka kwa foreign big broadcasters kama bbc, dw, cnn, sky na radio nyingine maarufu uk us na SA. hizi zote napokua kwangu tz nazisikiliza kupia dstv decoder una switch kwenye upande wa radio stations tu. tatizo hapo utakosa kuangalia tv kwa wakati ambao uko kwenye radio. uzuri radio hawajazibana kama mpira so hata ukilipia ile ya 35,000 tzs bado unazipata zote.
 
wakubwa wa kazi.

hivi karibuni moja ya vituo vya redio ninavyopenda kusikiliza bila kubadili stesheni, 101.4 FM kimekuwa hakirushi matangazo ya BBC World Service na badala yake kinapiga muziki tu.

Kuna anayejuwa ni kwa nini maana sasa nimekuwa kama nimetengwa na dunia ya habari?
Daah yaani tuko wengi! Mimi mwenyewe nimeimiss sana kwa kweli! Hasa Sauti ya Julian Marshall...na pia kipindi cha Outlook pamoja na World Have Your Say! Daah...!
 
It's true if you are used to listening to broadcasts from such stations as bbc world service, voa news, cnn radio and the sort you will struggle having to switch to local stations news bulletins that lacks quality, limited in coverage and untimeliness.

i can understand your frustrations. unfortunately internet is costly in tanzania leave alone its limitedness otherwise all those are easily accessible online.
http://www.bbc.co.uk/radio/player/bbc_world_service
http://www.voanews.com/
also if you search voa1-the hits that voa station is speacial for hit music and news 24 hours with special africa coverage daily

my advice try the following
1. Try Short Wave transimission (SW) in your radio. the quality is not good though compared to what you would expect from FM transmissions but it gets better in night times. When i was in Tz i used to listen to bbc world services via SW before i acquired dstv

2. this is the most reliable. DSTV decoder. IF you are connected to DSTV in your home then you are set to enjoy more than what you are missing now. it is most likely that the said 101.3 fm was also linking you to bbc via dstv decoder. the dstv decoder has so many radio stations embedded in it. so many that you will be surprised. hapo ni 24 hours unapata idhaa za kiingereza karibia zote kubwa duniani na ndogo pia. mimi ni mpenzi wa english news toka kwa foreign big broadcasters kama bbc, dw, cnn, sky na radio nyingine maarufu uk us na SA. hizi zote napokua kwangu tz nazisikiliza kupia dstv decoder una switch kwenye upande wa radio stations tu. tatizo hapo utakosa kuangalia tv kwa wakati ambao uko kwenye radio. uzuri radio hawajazibana kama mpira so hata ukilipia ile ya 35,000 tzs bado unazipata zote.
Shida ya Dstv kwenye familia zetu hizi za kibongo mnagombania wote kuangalia...so huwezi kupata quality time!
 
uko sahihi sana. shida inaanzia hapo. kuna kipindi hadi niliwaza 'hivi niongeze decoder na dish jingine nini?' maana nilinunua tv ya pili niwe naangalia mwenyewe room huku nikiwaacha wao sebuleni na tamthlia zao lakini wapi. decoder ni hiyohiyo moja kinachowekwa sebuleni na we2we huko chumbani ndo hichohicho uangalie. sasa watoto wanataka katuni zao na vipindi vyao vya ajabuajabu. mama anataka tamthlia. wakati huohuo arsenal na liverpool zinacheza baba ninataka hapo au nataka kuangalia dunia inakwendaje kupitia sky news inakua shida kubwa sana. unaamua kuwaacha unatoka unakwenda bar kuangalia mpira huku home umelipia full ili uwezage kuangalia mpira. hapo umeongea suala linalonikwazaga sana yani. lakini sasa solution yake ni expensive sana. utakuaje na dstv mbili kwenye nyumba moja.
 
Back
Top Bottom