1000 Ghanaian cedis

Battor

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2019
Posts
2,212
Reaction score
3,989
Habari wakuu nauliza hii pesa bado inatumika ghana au ni uchafu tu kama uchafu mwingine.

Nimeikuta kwenye kabrasha zangu pindi nafanya usafi.
 

Attachments

  • 613864B1-13C5-44BD-8526-9D86C666B11B.jpeg
    228.4 KB · Views: 12
  • D478D1D2-BAF3-4210-88C9-AA77F346DDE6.jpeg
    208.2 KB · Views: 12
Ukiingia Google inakuletea ni sawa na 397,295.02 Tanzanian Shilling. Shida ipo kwenye kubadilisha hiyo pesa
 
Ukiingia Google inakuletea ni sawa na 397,295.02 Tanzanian Shilling. Shida ipo kwenye kubadilisha hiyo pesa
Aaantee mkuu, ila utata ni kwamba sina uhakika kama bado inatumika ama walishabadilisha
 
Wewe umepewa na nani?
Au ya bwana shemeji amekupa uchezee......ingia google utafute chenchi.
 
Na hiyo pesa inaonekana imechoka sana aise. Ni ya mwaka gani?
Kama sijakosea ni tangu 2009 nipo sec school, sasa niliitunza kwenye wallet fulan nikatupa kwenye sanduku leo katika harakati za kutafuta document fulan ndo nikakutana nayo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…