Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,228
- 44,232
Hongera kwa maarifa chief-mkwawa sasa tatizo langu nina ka iphone 4s nimecreate ID nimejaza kila kitu ikakubali ila niki sign in inataka ni verify inanitumia e mail kuverify sasa nikifanya at last inasema your time is out,unanisaidiaje?
email za kurevify zina limit ya muda wengine wiki wengine masaa 24 wengine saa 1. hivyo omba upya verification email halafu hapo hapo fungua inbox halafu activate.
Last edited by a moderator: