10 Types of Smartphone Displays, Touchscreens

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
I thought it is good to share this:

There are many different types of displays / touchscreens available across the range of smartphones and it is important that we know about them before buying one. Over last one year smartphones with large smartphone displays and touchscreens have really become popular. In this post we explain different types of displays and touchscreens and their pros and cons.

[h=3]TFT LCD[/h] TFT stands for Thin Film Transistor technology. TFT LCDs are the most common type of display units used across mobile phones. TFT LCD offer better image quality and higher resolutions compared to earlier generation LCD displays but their limitation lies in narrow viewing angles and poor visibility in direct light or sunlight.
Large TFT displays consume more power and hence are not battery friendly. But since these are cheaper to manufacture these are found on budget phones, feature phones and lower end smartphones.

[h=3]IPS-LCD[/h] IPS stands for In-Place Switching. IPS LCDs are superior to normal TFT LCD displays with wider viewing angles and lower power consumption which leads to a much improved battery life. IPS-LCDs are costlier than normal TFT LCD and hence are found only on higher end smartphones. A higher resolution (640 x 960 pixels) version of IPS LCD is used in Apple iPhone 4 and is called Retina Display because of its brilliant picture quality.

[h=3]Resistive Touchscreen LCD[/h] Touchscreen LCD displays are of two types – Resistive and Capacitive. Resistive touchscreens contain two layer of conductive material with a very small gap between them which acts as a resistance. When the resistive touchscreen is touched with finger (or stylus) the two layers meet at the point of touch thus making a circuit at the point of touch. This information is recognized by the mobile’s processor / chip and passed on to the mobile’s OS there by triggering and event / action at the point of touch.
Resistive Touchscreens are not as responsive as capacitive touchscreens and often require a stylus to identify point of touch accurately. These are used only in lower end smartphones and feature touch phones.

[h=3]Capacitive Touchsceen LCD[/h] Capacitive touchscreen technology consists of a layer of glass coated with a transparent conductor (like indium tin oxide). When a capacitive touchscreen is touched by human body (finger), an interruption is created in the screens electrostatic field (which is measurable as a change in capacitance) which is detected by phone’s processor or chip and which in turn instructs phone’s operating system to trigger and event or action accordingly.
Capacitive touchsceens are much better and responsive to human touch when compared to resistive touchsceens and hence the user experience for touch is much better with capacitive touchscreens. Capacitive Touchsceens are used in most of the higher end smartphones.

[h=3]OLED[/h] OLED stands for Organic Light Emitting Diode and is a newer technology for displays of mobiles and monitors. In OLED technology a layer of organic material (carbon based) is sandwiched between two conducting sheets (an anode and a cathode), which in turn are sandwiched between a glass top plate (seal) and a glass bottom plate (substrate). When electric pulse is applied the two conducting sheets, electro-luminescent light is produced directly from the organic material sandwiched between. Brightness and color can vary depending on the electric pulse.
OLEDs are much better compared to LCDs because of their exceptional color reproduction, blazing fast response times, wider viewing angles, higher brightness and extremely light weight designs.

[h=3]AMOLED[/h] AMOLED stands for Active-Matrix Organic Light-Emitting Diode. AMOLED displays are a type of OLED displays for mobiles and are rapidly gaining popularity in top end smartphone segment. AMOLED screens have all the attributes of an OLED display like brilliant color reproduction, light weight, better battery life, higher brightness and sharpness and light weight designs.
AMOLED displays are now getting into main stream and most of the latest higher end smartphones like Nokia N8 are now coming with AMOLED displays. If you can shell out a little extra, our suggestion is to go with AMOLEDs over TFT LCDs.

[h=3]Super AMOLED[/h] Super AMOLED displays are an even advanced version of AMOLED displays developed by Samsung. Super AMOLED display is built with touch sensors on the display itself, as opposed to creating a separate touch sensitive layer (as in capacitive touchscreen). This makes it the thinnest display technology on the market.
Super AMOLED displays are also much more responsive than other AMOLED displays. Samsung’s recent top of the line smartphone Samsung Galaxy S I9000 comes with Super AMOLED.

[h=3]Retina Display[/h] Retina Display is a term used by Apple for its high resolution (640 x 960 pixels) IPS LCD (with backlit LED) used by them in iPhone4. They call it the Retina display because its pixels cannot be individually identified by the human eye, thus making the display super sharp and brilliant.

[h=3]Haptic / Tactile touchscreen[/h] Haptic technology has been used by Blackberry and Nokia for their touchscreen smartphones targeted towards enterprise market. This technology provides a tactile feedback on a touch action on the screen thus providing an immediate and unmistakable confirmation to the user. Haptic technology has been found to significantly improve user performance, accuracy and satisfaction while typing on a touchscreen.

[h=3]Gorilla Glass[/h] Gorilla Glass is a special alkali-aluminosilicate glass shield with exceptional damage resistance that helps protect mobile displays from scratches, drops, and bumps of everyday use. Many companies like Motorola, Samsung and Nokia are now using Gorilla Glass to make their mobile displays more durable and reliable. It is always better to go for a smartphone with Gorilla Glass for that added protection and peace of mind.

yani brother hii topic utachanganya watu balaa maana umemix mambo manne ambayo yalitakiwa yawe separate.

mfano tuchukulie iphone 5.
ina gorrila glass, ni capative, inatumia retina na pia ni ips lcd

hivyo ukaangalia type zako unakuta zinachanganya. iweje type nne ziwe kwenye simu moja? kiufupi naweza elezea hivi.

cover la kufunika kioo cha simu
hapa ndio unapata gorilla glass. hii ni kama plastic fullani ambalo kioo kikishaekwa linakuja kwa juu. kazi yake ni kufanya kile kioo chenyewe cha simu kisivunjike.

pia si gorilla peke yao wanaotengeneza kuna vioo vipya vya saphire kuna tetesi iphone ikaja nazo.

aina za vioo vya simu
hapa kuna aina kuu mbili ambazo ni oled na lcd. kwenye lcd ndio tunapata ips na tft na kwenye oled ndio tunapata amoled na super amoled.

kwenye oled kila pixel inajiwasha yenyewe na hivyo kuweka uwezekano baadhi ya pixel kujizima ili kuonyesha rangi nyeusi na kusave battery.

kwenye lcd kunakuwa na mwanga kwa nyuma hivyo kioo kizima kinawaka kwa kumulikwa mwanga. lcd ina mwanga mkali zaidi na mdogo zaidi kuliko oled na pia inaonesha rangi za uhalisia.

layer za watengeneza simu
watengeneza simu kama nokia au apple wakishanunua wanaongeza layer zao kwenye oled na lcd ili kuvifanya viwe bora zaidi. na hapa ndio unapata kitu kama retina display na clear black display. mfano hii cbd ya nokia inafanya kioo uweze kusoma vizuri kwenye mwanga mkali.

layer za aina za miguso
zamani kulikua na resistive display ambazo zilikua si rafiki wa vidole hivyo zikawa simu zake zinakuja na kalamu.

baadae zikaja capative display ambazo ni rafiki wa vidole ukigusa tu kioo kina respond hizi ndio zinatumika karibia simu zote kuanzia galaxies, xperia na wengine.

ila kuna nyengine ilioanzishwa na nokia hivi karibuni kwenye lumia 920 inaitwa super sensisitive touch screen hii ni kama combination ya vyote. ukiigusa na vidole, uma, kijiko, fagio, kalamu au hata ndizi inakubali vizuri tu.

hivyo naweza hitimisha kuwa vioo vina aina nyingi ambavyo unaweza viunganisha kwenye makundi mbali mbali. ni vizuri kujua una deal na kundi gani ili kutojichanganya.
 
Chief umefanya vizuri kumwelesha maana na mie ndo nilikuwa naelekea kumwambia kuwa amesema kuna mammals tofauti kisha akaja kuunganisha na birds na reptiles na sijui nn. yaani kuwapotosha watu. :A S thumbs_up: thumps up kwa kumkosoa
 
hajapotosha ila katoa muhtsari tu habari na ndo uzuri wa ctrl+c & v
 
yani brother hii topic utachanganya watu balaa maana umemix mambo manne ambayo yalitakiwa yawe separate.

mfano tuchukulie iphone 5.
ina gorrila glass, ni capative, inatumia retina na pia ni ips lcd

hivyo ukaangalia type zako unakuta zinachanganya. iweje type nne ziwe kwenye simu moja? kiufupi naweza elezea hivi.

cover la kufunika kioo cha simu
hapa ndio unapata gorilla glass. hii ni kama plastic fullani ambalo kioo kikishaekwa linakuja kwa juu. kazi yake ni kufanya kile kioo chenyewe cha simu kisivunjike.

pia si gorilla peke yao wanaotengeneza kuna vioo vipya vya saphire kuna tetesi iphone ikaja nazo.

aina za vioo vya simu
hapa kuna aina kuu mbili ambazo ni oled na lcd. kwenye lcd ndio tunapata ips na tft na kwenye oled ndio tunapata amoled na super amoled.

kwenye oled kila pixel inajiwasha yenyewe na hivyo kuweka uwezekano baadhi ya pixel kujizima ili kuonyesha rangi nyeusi na kusave battery.

kwenye lcd kunakuwa na mwanga kwa nyuma hivyo kioo kizima kinawaka kwa kumulikwa mwanga. lcd ina mwanga mkali zaidi na mdogo zaidi kuliko oled na pia inaonesha rangi za uhalisia.

layer za watengeneza simu
watengeneza simu kama nokia au apple wakishanunua wanaongeza layer zao kwenye oled na lcd ili kuvifanya viwe bora zaidi. na hapa ndio unapata kitu kama retina display na clear black display. mfano hii cbd ya nokia inafanya kioo uweze kusoma vizuri kwenye mwanga mkali.

layer za aina za miguso
zamani kulikua na resistive display ambazo zilikua si rafiki wa vidole hivyo zikawa simu zake zinakuja na kalamu.

baadae zikaja capative display ambazo ni rafiki wa vidole ukigusa tu kioo kina respond hizi ndio zinatumika karibia simu zote kuanzia galaxies, xperia na wengine.

ila kuna nyengine ilioanzishwa na nokia hivi karibuni kwenye lumia 920 inaitwa super sensisitive touch screen hii ni kama combination ya vyote. ukiigusa na vidole, uma, kijiko, fagio, kalamu au hata ndizi inakubali vizuri tu.

hivyo naweza hitimisha kuwa vioo vina aina nyingi ambavyo unaweza viunganisha kwenye makundi mbali mbali. ni vizuri kujua una deal na kundi gani ili kutojichanganya.

big up chief. kati ya vioo hivi kipi bora zaidi ya kingine
 
kaka debate ya ips lcd na amoled ni kubwa sana, huwezi tu ukasema kioo hiki ni bora.

tofauti kubwa ni the way zunavyofanya kazi. wakati amoled kila pixel inajiwasha yenyewe lcd zinawashwa na mwanga wa nyuma hivyo kuifanya iwe either na mwanga mkaliii au iwe na mwanga hafifuuu.

so kikawaida tu unaweza sema lcd ni nzuri ukiwa nje kwenye jua kuliko amoled. na amoled ni nzuri kwa kua ni rafiki wa energy pixel zinawaka zile zinazotumika tu.

Nokia-Lumia-925.jpg

ona hii picha hio rangi nyeusi ni pixel zimejizima ila zimewaka chache chini kuonyesha saa tu. hapa ina maana kioo kinasave battery kwa kuzima pixel na kuwasha zinazotumika. ingekua lcd ingebidi kiwake kioo chote kuonyesha saa tu.

oem wa siku hizi
nokia anakazana kuifanya amoled iwe bright kama vile lcd unaweza angalia kioo cha lumia 925 kimefika nits 6000 ambazo kioo cha kawaida cha amoled hakiwezi bali lcd ndo zinafikia brightness hio.

htc nao wanajitahidi kuifanya lcd iwe kama amoled kwa kuondoa zile natural color na kuzifanya ziwe kama za amoled angalia kioo cha htc one cha lcd ukicompare na amoled ya s4 ni kama vinafanana tu.

hivyo swali lako kama kwa manufacture wakubwa akitumia ips, tft au amoled isikushtue wanaweza kutengeneza display nzuri kwa technolojia yoyote.

ila hawa manufacture wadogo underground epuka technolojia kama tft make sure kioo either ni ips au super amoled.
 
@chief-mkwawa sorry a bit off topic ila wanted to know what your thoughts are on these devises S.Galaxy SIII and Sony experia SP. Which phone would you rate above the other? Pros cons that one should know? Regards
 
we jamaa either unafanya kazi nokia au kampuni ya kutengeneza smartphone. unajua vingi kupitiliza.

big up sana bro
 
aina za display ni shida kuzielewa ila kwenye hii link wamejaribu kusimplify maelezo

Super AMOLED Vs Retina Vs OLED Vs LCD Vs IPS: What’s the Difference? - AndroidPIT

kwa upande wa vioo sidhani kama corning wana mpinzani

.
inategemeana kaka
.
mbona nokia ka fail na corning yake kwenye C311
.
afu mi siwezi nunua simu ambayo touch screen ina sense hata kitambaa; kijiko et all
waliofanya mouse ya pc isiweze ku sense kitambaa n.k walikuwa na maana yao....
.
.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hwe-kinachojiri-kwa-sms-bure-mwaka-mzima.html
.
 
kaka debate ya ips lcd na amoled ni kubwa sana, huwezi tu ukasema kioo hiki ni bora.

tofauti kubwa ni the way zunavyofanya kazi. wakati amoled kila pixel inajiwasha yenyewe lcd zinawashwa na mwanga wa nyuma hivyo kuifanya iwe either na mwanga mkaliii au iwe na mwanga hafifuuu.

so kikawaida tu unaweza sema lcd ni nzuri ukiwa nje kwenye jua kuliko amoled. na amoled ni nzuri kwa kua ni rafiki wa energy pixel zinawaka zile zinazotumika tu.

Nokia-Lumia-925.jpg

ona hii picha hio rangi nyeusi ni pixel zimejizima ila zimewaka chache chini kuonyesha saa tu. hapa ina maana kioo kinasave battery kwa kuzima pixel na kuwasha zinazotumika. ingekua lcd ingebidi kiwake kioo chote kuonyesha saa tu.

oem wa siku hizi
nokia anakazana kuifanya amoled iwe bright kama vile lcd unaweza angalia kioo cha lumia 925 kimefika nits 6000 ambazo kioo cha kawaida cha amoled hakiwezi bali lcd ndo zinafikia brightness hio.

htc nao wanajitahidi kuifanya lcd iwe kama amoled kwa kuondoa zile natural color na kuzifanya ziwe kama za amoled angalia kioo cha htc one cha lcd ukicompare na amoled ya s4 ni kama vinafanana tu.

hivyo swali lako kama kwa manufacture wakubwa akitumia ips, tft au amoled isikushtue wanaweza kutengeneza display nzuri kwa technolojia yoyote.

ila hawa manufacture wadogo underground epuka technolojia kama tft make sure kioo either ni ips au super amoled.
nashukuru kwa majibu mazuri ila samahani nina swali 1 tu,simu ninayotumia tecno p3 naona kama mwanga wake unaumiza macho sana hasa ninapoitumia kwa muda mrefu.je hii inaweza kusababishwa na hiki kioo chake (tft)?
 
Kwa mfano
akakwambia Camera ina 8MP alfu ki uharisia ina 2MP
.
Ni kawaida kwa hiyo usiamini spesifications zote unazopewa na Tecno display inaweza ikawa tft kwenye p3 afu ikatofautiana na ya samsung ambazo zote ni tft...
.
.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hwe-kinachojiri-kwa-sms-bure-mwaka-mzima.html
.
 
nashukuru kwa majibu mazuri ila samahani nina swali 1 tu,simu ninayotumia tecno p3 naona kama mwanga wake unaumiza macho sana hasa ninapoitumia kwa muda mrefu.je hii inaweza kusababishwa na hiki kioo chake (tft)?

yah inawezekana. play store kuna app (nimeisahau jina) inapunguza mwanga sana kiasi kikubwa kuliko wa manufacture. wakati wa usiku hueka mwanga mdogo kabisa. jaribu kugoogle app za kupunguza mwanga
 
@chief-mkwawa sorry a bit off topic ila wanted to know what your thoughts are on these devises S.Galaxy SIII and Sony experia SP. Which phone would you rate above the other? Pros cons that one should know? Regards

kaka hapa ni tough kidogo s3 ni superior kwa xperia kwenye nyaja hizi.
1. kioo kizuri zaidi (super amoled vs tft)

2. storage kubwa zaidi s3 inaanzia 16gb hadi 64gb wakati xperia sp ni 8gb tu

xperia sp nayo ni superior kwa s3 kwenye vitu hivi.
1. perfomance (krait 1.7ghz compare na cortex a9 ya s3 xperia ni bora).

2. less bloatware.

hivyo naweza kusema s3 ni nzuri kama simu ya kawaida ila kama utacheza games na vitu vikubwa kubwa chip yake ishakua outdated itakusumbua. ila kwenye multimedia bado ipo vizuri utaplay hd video fresh na display ya s3 ni nzuri.

xperia ina perfomance kubwa sababu hata gpu yake ni adreno 320 ina maana kwa game za simu hamna itayokusumbua compare na mali 400 ya s3. pia kukosekana kwa kwa bloatware nyingi kunaifanya iwe na free ram kubwa ya kuhandle mambo mengi.

hapo decide mwenyewe.
matumizi ya kawaida s3 ni bora.
matumizi ya gaming sp ni bora.

kwa kuongezea kuna s3 version ya marekani ilitoka mda mchache kabla ya kutoka s4 namba yake ni gt 19305 hii ina ram 2gb na lte (4g) hii ni bora zaidi kama utaipata kuliko s3 ya kawaida
 
Hongera kwa maarifa chief-mkwawa sasa tatizo langu nina ka iphone 4s nimecreate ID nimejaza kila kitu ikakubali ila niki sign in inataka ni verify inanitumia e mail kuverify sasa nikifanya at last inasema your time is out,unanisaidiaje?
 
Last edited by a moderator:
kaka hapa ni tough kidogo s3 ni superior kwa xperia kwenye nyaja hizi.
1. kioo kizuri zaidi (super amoled vs tft)

2. storage kubwa zaidi s3 inaanzia 16gb hadi 64gb wakati xperia sp ni 8gb tu

xperia sp nayo ni superior kwa s3 kwenye vitu hivi.
1. perfomance (krait 1.7ghz compare na cortex a9 ya s3 xperia ni bora).

2. less bloatware.

hivyo naweza kusema s3 ni nzuri kama simu ya kawaida ila kama utacheza games na vitu vikubwa kubwa chip yake ishakua outdated itakusumbua. ila kwenye multimedia bado ipo vizuri utaplay hd video fresh na display ya s3 ni nzuri.

xperia ina perfomance kubwa sababu hata gpu yake ni adreno 320 ina maana kwa game za simu hamna itayokusumbua compare na mali 400 ya s3. pia kukosekana kwa kwa bloatware nyingi kunaifanya iwe na free ram kubwa ya kuhandle mambo mengi.

hapo decide mwenyewe.
matumizi ya kawaida s3 ni bora.
matumizi ya gaming sp ni bora.

kwa kuongezea kuna s3 version ya marekani ilitoka mda mchache kabla ya kutoka s4 namba yake ni gt 19305 hii ina ram 2gb na lte (4g) hii ni bora zaidi kama utaipata kuliko s3 ya kawaida
Exactly, choice ngumu kwel. S3 has better LCD and Camera (despite both having 8Mpixels), superior memory ila as you just said performance esp games n movies ina lagg a bit!! But SP is kinda cheaper so i think that gives it a leading point! Thanks for the reply mkuu
 
Jamani vipi kuhusu huawei y300? Maana kioo chao hadi upunguze mwanga ndo simu itakaa chaji angalau nusu siku!
 
Back
Top Bottom