Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,823
- 40,627
Vyumba 2, sebule,
Hakika mkuu niamini.
Hakika mkuu niamini.
Unajenga ya vyumba 3 ndogo ya ukubwa wa mita 9x11 na tofali za block ni 1800 ikiwa msingi utapiga mawe. Bati 45 tu. Mfano hiyo hapo[emoji116]
![]()
Ukihitaji michoro ya ujenzi nicheki PM
Kweli kabisa mkuu Mtazamo.... wabongo wengi ni wavivu ktk kusimamia kaziNyumba ya vyumba vinne msingi mpaka linta haizidi 7M kama eneo ni zuri. kuezeka hadi finishing inategemea umechagua materials gani. Kuna watu wamejenga kwa gharama kubwa mno sababu ya kushindwa kuwasimamia mafundi, kujua namna ya kununua materials kwa bei nafuu n.k ....mtu unashinda baa kila kitu unamuachia fundi na pesa unarusha tu kwa tigopesa then wanaishia kutisha wengine waone Ujenzi ni very expensive.