Katika pitapita nimeikuta hii wenye vigezo changamkien kidogo.
Deo Lake Gas Supplier, Sinza Madukani.
Tunahitaji Marketing Officers wenye elimu kuanzia Diploma Degree ya Marketing, business. Awe amehitimu chuo kuanzia mwaka 2012.
Awe flexible kufanya kazi Sinza, Mwenge, Kinondoni, Manzese n.k. Mshahara mzuri kwa watakaofuzu majaribio.
Alie tayari awasiliane nami kwa namba 0714833159