10 Great Rules That Will Help You Remain POOR All Your Life

10 Great Rules That Will Help You Remain POOR All Your Life

wewe kisoia kweli, kwa hiyo hapo umezispot namba tatu na tisa tu huh, hayo mengine aah aah hujayaona, au matongotongo yameziba macho eeh ndo unaamka nini, haya u keep waking up muda unaotaka spend much than you earn alafu keep complaining like you just did, watu wengine sijui mpoje yani, pongeza panapostahili jombaa wacheni hiyo miroho wai, just advice the poster wisely kusahihisha alipokosea hiyo 3&9 siyo kuita thread ya mwenzako full of rubbish nonsense we vipi bana aaaargggghhhhh. 😛uke:
 
Watu wanasifu hii post bila kufikiria mantiki yake hasa. Yawezekana haya ni moja ya mashairi au story za ki-comedy vile. Kwa mfano, rule number 3 na 9 zinakinzana, moja inataka uwe unashindana na marafiki zako.....Kama rafiki kanunua gari la bei ghali wewe unatakiwa ununue la bei ghali zaidi (Rule No. 3). Wakati huo huo Rule No. 9 inataka ununue gari second-hand linalogharimu zaidi ya mara tatu ya mshahara wako; Wenzio wakinunua mapya wewe ununue second-hand na wakati huo huo unadai una-compete nao???!!! How can this be? Na Rule No. 2 inadai tusiwe tunapanga kabla ya kutumia. Sasa inawezekanaje kushindana na wenzio kama hukupanga kuwazidi kwa kila walifanyalo? This is too low and full of rubbish to Great Thinkers! Nonsense!

[h=2]Re: ‎10 Great Rules That Will Help You Remain POOR All Your Life[/h]
Yaani inamaana ukizifuata hizo10 rules, hapo kwenye red ni garantee mkuu, nadhani tuko pamoja sasa. Thanks
 
[h=2]Re: ‎10 Great Rules That Will Help You Remain POOR All Your Life[/h]
Yaani inamaana ukizifuata hizo10 rules, hapo kwenye red ni garantee mkuu, nadhani tuko pamoja sasa. Thanks
Rich will be richer and poor will be poor and poverty is a curse .maskini hata umpe trillion moja dollar zote zitapeperuka.if your born rich you know the value of money lakini ukizaliwa maskini pesa kwako ni ndoto.mimi nimelelewa na mzazi anayejua kutafuta nimeolewa na mtafitaji na wanangu watatafuta .to be rich is how much you make and how much you will inherit
 
Thanks Natalia, kwenye red nilikua namwelewesha SJUMAA26, nadhani alielewa kwamba hizi ni rules za mafanikio.

Back to your case,
Kama umasikini ni curse it means utajiri nako ni blessing, na hivyo vitu vina principle zake zitakazosababisha uwe kwenye eidha kwenye kundi la umasikini au utajiri. Na moja ya kanuni za kuendelea kuwa masikini ni hizi 10 great rules za unasikini.

Huwezi kuzaliwa familia ya kimasikini ukafanya ukatumia akili yako vizuri ukabaki kuwa masikini, kitu nnachokubaliana na wewe ni kwamba back gound itakupa vikwazo lakini mwisho wa siku utatoboa tu.

Upo kwenye famili ya aina hiyo kwa sababu kuna mtu laifuata principle za success, baadhi yenu mkazifuata ndio maana hiyo chain inaendelea. Japo si amini kama ukoo wenu wote ni matajiri coz naimani sio wote waliofuata hizo principals.

Ukizaliwa kwenye utajiri ukajaliwa kutumia akili yako vizuri, utaendelea kuwa tajiri, usipokuwa makini nako umasikini utakujia tu japo utachelewa.

Ukizaliwa kwenye umasikini ukatumia akili yako vizuri, kwa nini usifanikiwe? japo njia yako haitakua smooth sana.

Mwisho inategema tunapima au kutafsiri vipi success.

Thanks
 
p'z mods,ifanyeni thread hii iwe sticky kwny business and economic forums
 
And here are 10 great ways will help you get rich very fast

Wouldn't it be wonderful if you could get rich tomorrow? What would you do with all that money? Well believe it or not it can be done. Now I didn't say it would be easy I just said you could do it. Here are 10 tips on how to get rich fast.

1. Invest - Start young. In fact start while you are in elementary school, kindergarten is even better. It's the beauty of compound interest and over time your money will grow into a nice nest egg. Okay if you are reading this you are probably too old to start in elementary school but you can get your kids hooked. As for you the best plan of defense is to invest 50% of your salary in a high risk market fund or the penny stock market. You've got a 50-50 chance. You'll either make a million or be broke in 90 days.

2. Marry Rich - Now how difficult can this be? All you need to do is find someone who has loads of money and marry them. Okay I didn't say you'd be happy just rich. Perhaps not a solution for most of us but it apparently works for a few. Ask Natalia for more info.

3. Win The Lottery - Ya ya I know the odds of getting struck by lightening are better than the odds of winning the lottery but you can't win if you don't try and it's one of the few ways I know of that you can get rich fast.

4. Rich Parents - If you come from a wealthy family then you are half way there. All you have to do is stay in their good books and convince mom and dad to not spend their money and leave it to you when they pass. After all why should your parents get to enjoy the wealth they reaped?

5. Get An Education - Go to school for lots of years, accumulate plenty of debt, and choose a career that pays big bucks. After about 10 years in your profession you should be rolling in the dough and you might even be filthy rich before you get old.

6. Become A Star - Heck if Jennifer Aniston or Nicolas Cage can do it why can't you. A couple of acting lessons and you should be set. All you need to do is head to Hollywood and strike it big. One good movie and you'll be set for life.

7. Invest In Real Estate - Buy high sell low – whoops I think I got that backwards. Buy low, wait 10 years, 20 years, maybe even 30 years but inflation will have your investment growing by leaps and bounds and you could be filthy rich especially if you bought in an up and coming city while house prices were still low. Now if you bought in Hicksville USA you may have a problem. It might take more than your lifetime to see any dramatic increases. Oh well you can leave it to your kids who can leave it to their kids and in another 100 years or so someone's going to be sitting pretty.

8. The Internet Way - Heck where have you been. A quick search on the Web will reveal plenty of sites that will teach you how to make $50,000 a day. Now I think most of us could live quite comfortably on that don't you? All you need to do is part with about $500 and they'll tell you the secrets of wealth in one page or less. If the first one doesn't do it for you perhaps you might want to try a few more. Oh wait a minute. Perhaps what you need to do is set up one of these sights, then you'll be the one getting rich off the other poor fools that part with their $500.

9. Bank Robbery - Okay highly illegal and could land you a lifetime in the slammer but desperate needs require desperate measures. After all if you get caught you might not be rich but you'll have free room and board for the rest of your life and then you could write a book about what not to do when robbing a bank and well see you could get rich from your book. And even better, you'll stay rich because there is really no place to spend it while in jail.

10. High Risk Work - Take on those high risk jobs no one else wants. You know counselor in Iraq, bean counter in Afghanistan, Oil tycoon in Iran. But hey if you live through it you'll be rolling in the dough. What does it matter that 99% never live through it. You've got a 1% chance and when it comes to getting rich those are pretty good odds.

Sure most of these ideas are pretty off the wall but if getting rich fast was easy wouldn't we all be rich? Then what fun would there be in that? We'd all have too much money and probably be bored to tears. So why not aim for better life with good friends, love, happiness, and enough money to live comfortably but not so much that you stop dreaming about what you would do if you were rich.
 
Last edited by a moderator:
Re: ‎10 Great Rules That Will Help You Remain POOR All Your Life

Yaani inamaana ukizifuata hizo10 rules, hapo kwenye red ni garantee mkuu, nadhani tuko pamoja sasa. Thanks

Ni sawa, lakini arguments zangu na wewe hukuzielewa! Utazifuataje hizo rules zote 10 wakati zenyewe kwa zenyewe tu zinakinzana? Au wewe hujaona hilo?
 
wewe kisoia kweli, kwa hiyo hapo umezispot namba tatu na tisa tu huh, hayo mengine aah aah hujayaona, au matongotongo yameziba macho eeh ndo unaamka nini, haya u keep waking up muda unaotaka spend much than you earn alafu keep complaining like you just did, watu wengine sijui mpoje yani, pongeza panapostahili jombaa wacheni hiyo miroho wai, just advice the poster wisely kusahihisha alipokosea hiyo 3&9 siyo kuita thread ya mwenzako full of rubbish nonsense we vipi bana aaaargggghhhhh. 😛uke:
Another small mind!
 
Watu wanasifu hii post bila kufikiria mantiki yake hasa. Yawezekana haya ni moja ya mashairi au story za ki-comedy vile. Kwa mfano, rule number 3 na 9 zinakinzana, moja inataka uwe unashindana na marafiki zako.....Kama rafiki kanunua gari la bei ghali wewe unatakiwa ununue la bei ghali zaidi (Rule No. 3). Wakati huo huo Rule No. 9 inataka ununue gari second-hand linalogharimu zaidi ya mara tatu ya mshahara wako; Wenzio wakinunua mapya wewe ununue second-hand na wakati huo huo unadai una-compete nao???!!! How can this be? Na Rule No. 2 inadai tusiwe tunapanga kabla ya kutumia. Sasa inawezekanaje kushindana na wenzio kama hukupanga kuwazidi kwa kila walifanyalo? This is too low and full of rubbish to Great Thinkers! Nonsense!

Igwe agree with you........
 
daaah
umenikumbusha wosia wa mama yangu
thax mdau no inanihusu mwanzo mwisho
 
daaah
umenikumbusha wosia wa mama yangu
thax mdau no 2 inanihusu mwanzo mwisho
 
Nice post. Hasa 'red', attitude is definition of one personality.

Bado sijaona rule nyingine ya time. Dont manage your time.
 
Watu wanasifu hii post bila kufikiria mantiki yake hasa. Yawezekana haya ni moja ya mashairi au story za ki-comedy vile. Kwa mfano, rule number 3 na 9 zinakinzana, moja inataka uwe unashindana na marafiki zako.....Kama rafiki kanunua gari la bei ghali wewe unatakiwa ununue la bei ghali zaidi (Rule No. 3). Wakati huo huo Rule No. 9 inataka ununue gari second-hand linalogharimu zaidi ya mara tatu ya mshahara wako; Wenzio wakinunua mapya wewe ununue second-hand na wakati huo huo unadai una-compete nao???!!! How can this be? Na Rule No. 2 inadai tusiwe tunapanga kabla ya kutumia. Sasa inawezekanaje kushindana na wenzio kama hukupanga kuwazidi kwa kila walifanyalo? This is too low and full of rubbish to Great Thinkers! Nonsense!
556739_511162368924585_10929052_n.jpg
 
Soma vizur na uelewe.usipende kukurupuka tu.
 
Soma vizur na uelewe.usipende kukurupuka tu.
Nina uhakika wewe ndio umejaribu kuelewa visivyoeleweka, na hivyo kukufanya na wewe usieleweke hapa na hatimaye kupotea kabisa! Pole sana.
 
Its like only few Tanzania break these rules,,
 
Back
Top Bottom